Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hii vipi? View attachment 1564478
IMG_20200909_182030.jpg

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Anzia mbele kurudi nyuma

Tusisumbuane................ mb.. wewe
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM alizuru Mkoa wa Mara kwa ajili ya kampeni zake lakini hakuweza kufika Wilaya za Tarime, Rorya na Serengeti ambayo siyo kawaida yake.

Tunajiuliza ni kwa nini hakuweza kufika maeneo hayo yaliyotajwa?

Uongozi wa Mkoa wa Mara ni budi watueleze wananchi wa maeneo hayo ni kwanini mgombea huyo hakuja kuomba kura zake, Wabunge na Madiwani ili Chama chake kiweze kuibuka kidedea katika uchaguzi unaokuja?
 
Mikoa yote aliyopita, nitajie ni mkoa upi alitembelea zaidi ya wilaya 1 tofauti na Mwanza ambapo alipita wilaya 3 sababu ndio njia ya kuelekea huko alikokuwa anakwenda!
 
Kuna tatizo kubwa sana huko.

Ukisikiliza hotuba yake kuna sehemu alikuwa anawananga wananchi wanaotakiwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, kwa kuwaambia "kwani lazima mlipwe, si endeleeni kukaa humo..."

Huyo ndiye magu, dakika mbili nyingi kuharibu na akija kushtuka kumbe yupo kwenye kampeni.
 
Rais Magufuli atashinda hata asipofanya kampeni kuanzia leo na uhakika wa kushinda ni 80% ila akizunguka nchi nzima ni 99%. Hii ndio inamaanisha USHINDI KWA CCM NA Rais MAGUFULI NI LAZIMA
 
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM alizuru Mkoa wa Mara kwa ajili ya kampeni zake lakini hakuweza kufika Wilaya za Tarime, Rorya na Serengeti ambayo siyo kawaida yake...
Wilaya hizo si za Wasukuma angeongea lugha gani na chekechea, wanafunzi, walimu na wananchi wamwelewe ili siku ya siku ikifanya wamchague kwa kishindo? Lugha imempiga chenga!
 
Daaah!!!!!
1,3&4 >Wewe hustuki kutokuwa na taarifa zozote juu ya ATCL?Hizi ndege hata zikiwa zimepaki bado ni gharama kubwa kuzitunza!Usafiri wa anga ni muhimu ila usiseme at all cost!No way,sio lazima serikali ndio iwe mmiliki wa usafiri wa anga!Kama ni mzigo basi sekta binafsi ziachiwe zifanye kazi!Hapa ndio dhana nzima ya ubinafsishaji inapokuja,serikali ni vigumu kufanya biashara!Zaidi itatoa huduma na hapa ndipo hasara huanzia!Ndio yaleyale ya UDA na mwendokasi!

Sasa kwan tatizo lipo wap? serikali sio wafanya biashara, serikali haihitaji kufanya biashara because it can print as much money as it needs ndo maaana miradi yao mingi haina faida kuanzia hospital its normal, sasa wewe unachopigia kelele ni nn
 
Daaah!!!!!
1,3&4 >Wewe hustuki kutokuwa na taarifa zozote juu ya ATCL?Hizi ndege hata zikiwa zimepaki bado ni gharama kubwa kuzitunza!Usafiri wa anga ni muhimu ila usiseme at all cost!No way,sio lazima serikali ndio iwe mmiliki wa usafiri wa anga!Kama ni mzigo basi sekta binafsi ziachiwe zifanye kazi!Hapa ndio dhana nzima ya ubinafsishaji inapokuja,serikali ni vigumu kufanya biashara!Zaidi itatoa huduma na hapa ndipo hasara huanzia!Ndio yaleyale ya UDA na mwendokasi!

3>Wewe ndie umeongea pumba!Wakulima wanapouza mazao yao nje lets say korosho,serikali huingiza fedha za kigeni!Sasa kama pesa hii yote unaenda kulipa kwa mkupuo kwenye makampuni ya nje,maana yake unapunguza uwezo wako wa kununua bidhaa kutoka nje! Pesa ambayo ingetumika kuboost maendeleo ya watu inakuwa inaenda nje moja kwa moja!

Wakati ilipaswa % kubwa ifanye shughuli zenye kuongeza mzunguko wa ndani!Miradi kama usambazaji wa umeme ni miradi ambayo ina tija kwa maana ya ajira,vitendea kazi na resources kwa kiwango kikubwa hupatikana hapa hapa nchini lakini pia mradi unaoenda kugusa maisha ya wengi!

5>Hayo ya Chadema waulize wao, usiniulize mimi!

Economics una 0 mpaka apo! hakunaga pesa inaenda nje ya nchi, trades zinafanyika as depts, hata ukiuza mazao nje millions of millions hakuna pesa inaenda nje because lazima irudi kwenye mzunguko, hakuna nchi nje ya tanzania inatrade na tsh country to country and it can never happen, the money unaskia imepatikana kutokana na mauzo ya nje hua znaingia as depts from another country, in economics hua tunaiita negative asset! izo pesa zote unazoskia zingeweza kua znatoka from tsh tungebaki na 0tsh nchi nzima maaana mzunguko wote wa pesa ungeisha!

skulaumu maana economics hauelewi,
 
economics una 0 mpaka apo! hakunaga pesa inaenda nje ya nchi, trades zinafanyika as depts, hata ukiuza mazao nje millions of millions hakuna pesa inaenda nje because lazima irudi kwenye mzunguko, hakuna nchi nje ya tanzania inatrade na tsh country to country and it can never happen, the money unaskia imepatikana kutokana na mauzo ya nje hua znaingia as depts from another country, in economics hua tunaiita negative asset! izo pesa zote unazoskia zingeweza kua znatoka from tsh tungebaki na 0tsh nchi nzima maaana mzunguko wote wa pesa ungeisha!

skulaumu maana economics hauelewi,
Hakuna mahali nimesema pesa yetu kwa maana tsh tunapeleka nje,hapo umenisingizia uongo!Ninasema tunapeleka nje in terms of foreign currency!Na hapo ndipo BoT inapoingia!Sisi tunapeleka tsh sawa na thamani ya mradi/bidhaa na wao wanatoa kwenye reserve ya pesa za kigeni na kulipa!Kwa maana hiyo BoT ndio inakuwa imeshikilia fedha na pesa hiyo inakosekana kwenye mzunguko!

Kwa maana hiyo mpaka tupate tena bidhaa za kuuza nje,mfano korosho au tupate watalii na walete fedha za kigeni,ndio hapo BoT wanabadilisha zile tsh kuwa reserve ya fedha za kigeni!Kumbuka kuwa wakati huo BoT inakuwa imeshikilia fedha tsh hivyo pesa hiyo kukosekana kwenye mzunguko!

So unapaswa kuelewa,ninaposema kodi ya wananchi inakwenda kulipa miradi mikubwa makampuni ya nje sina maana ya tsh!
Hoja nyingine naona umezielewa!
 
Hakuna mahali nimesema pesa yetu kwa maana tsh tunapeleka nje,hapo umenisingizia uongo!Ninasema tunapeleka nje in terms of foreign currency!Na hapo ndipo BoT inapoingia!Sisi tunapeleka tsh sawa na thamani ya mradi/bidhaa na wao wanatoa kwenye reserve ya pesa za kigeni na kulipa!Kwa maana hiyo BoT ndio inakuwa imeshikilia fedha na pesa hiyo inakosekana kwenye mzunguko!Kwa maana hiyo mpaka tupate tena bidhaa za kuuza nje,mfano korosho au tupate watalii na walete fedha za kigeni,ndio hapo BoT wanabadilisha zile tsh kuwa reserve ya fedha za kigeni!Kumbuka kuwa wakati huo BoT inakuwa imeshikilia fedha tsh hivyo pesa hiyo kukosekana kwenye mzunguko!
So unapaswa kuelewa,ninaposema kodi ya wananchi inakwenda kulipa miradi mikubwa makampuni ya nje sina maana ya tsh!
Hoja nyingine naona umezielewa!

BOT haishikilii tsh, inashikiliwa FOREIGN RESERVES ambazo ni usd$, na hizo hazitumiki kufanya exchange yoyote ile, the main use of it ni kubackup tsh ikiyumba, if you sell something outside you dont give the other country your currency but unaiamuru hio nchi ingine ichapishe pesa mpya impe aliekuuzia, in modern times its just easy as typing digits into a computer! tsh inarudi kwenye mzunguko kwa sababu haiwezi trade outside borders za tz

The reason foreign reserves ni $$ its because its the global exchange currency lakini there are some central banks that holds Gold instead of usd, mfano china, russia, afganistan and cuba hawana central bank, in tz a central bank ni kama BOT! they use GOLD as there foreign exchange just incase ela ya nchi ikiyumba then they will be used to back it up, nadhan umeelewa somo
 
The only thing that will remain in tz is a negative asset or dept, then it will be used to cancel with another currency that will be traded, incase kama wewe ndo umeingiza pesa za kigeni then that means bot wana +1 usd but as digits not money! they can use that digit to do anything they want such as purchase something or trade with another nation! you can as well use it to paay the nation dept, tsh has no where to go and u cant bypass it on any border

-tsh can be printed as much as needed by the central bank, ingekua biashara ndo easy kama unavoongea ivo then tungekua tunawapa pesa then tunaprint zingine kufidia zilizoondoka! hope unanielewa sasa
 
BOT haishikilii tsh, inashikiliwa FOREIGN RESERVES ambazo ni usd$, na hizo hazitumiki kufanya exchange yoyote ile, the main use of it ni kubackup tsh ikiyumba, if you sell something outside you dont give the other country your currency but unaiamuru hio nchi ingine ichapishe pesa mpya impe aliekuuzia, in modern times its just easy as typing digits into a computer! tsh inarudi kwenye mzunguko kwa sababu haiwezi trade outside borders za tz

The reason foreign reserves ni $$ its because its the global exchange currency lakini there are some central banks that holds Gold instead of usd, mfano china, russia, afganistan and cuba hawana central bank, in tz a central bank ni kama BOT! they use GOLD as there foreign exchange just incase ela ya nchi ikiyumba then they will be used to back it up, nadhan umeelewa somo
Hold on there na twende taratibu hapo!Mfano kampuni ni kutoka China,imetekeleza mradi hapa Tz!Unasema tunawaambia china wachapishe pesa wailipe hiyo kampuni!So China wanafidiwaje hiyo pesa waliyoilipa hiyo kampuni?
 
BOT will have to issue something called IOU ( An IOU is a document that acknowledges a debt owed. In business, accounts receivable may be informally called IOUs. ), then alot of banks watagombania kupewa hio IOU then atakaebahatika kupewa hio IOU , atampa huyo aliekuja na hio IOU pesa kwenye account yake, mind you hio IOU kuna profit banks wanapata! then thats how money is created on the other side, that IOU remains as a legal document that unaidai BOT, serikali ikuuza nje then na wenyewe watapata IOU kuashiria kuna sehem wanadai, and that how money makes it way to the economy hakuna any movement of money just digits typed
 
The whole economy runs on depts plus a combination of faith from the us government dollar in economical terms we call it (FIANT MONEY), meaning money that exists just because of faith, and this is how the whole world economy runs till today, its backed by faith plus a series of unpayable depts! cha muhimu unachotakiwa kujua ni kwamba tsh doesnt go anywhere and inaishia border haivuki kokote, just in case of emergency the BOT keeps foreign reserves lakini sio lazima iwe USD , some countries like russia, USA, afganistan and cuba hawana central bank, they sold all the USD and bought gold because the US was printing alot of money which makes other nations currency devalued, so they use gold because u cant print it
 
BOT will have to issue something called IOU ( An IOU is a document that acknowledges a debt owed. In business, accounts receivable may be informally called IOUs. ), then alot of banks watagombania kupewa hio IOU then atakaebahatika kupewa hio IOU , atampa huyo aliekuja na hio IOU pesa kwenye account yake, mind you hio IOU kuna profit banks wanapata! then thats how money is created on the other side, that IOU remains as a legal document that unaidai BOT, serikali ikuuza nje then na wenyewe watapata IOU kuashiria kuna sehem wanadai, and that how money makes it way to the economy hakuna any movement of money just digits typed
Hapo sasa tuko pamoja!Unakumbuka juu ya sakata la EPA?Ni kwamba serikali ilikuwa ina madeni ya nje,hivyo EPA account ikafunguliwa BoT!Kuna mtu wangu wa karibu ambaye baba yake alinufaika alinielezea namna alivyonufaika na pesa hizo kisheria na akabaki salama!Alikwenda nje ya nchi na kutafuta kampuni zinazoidai serikali,akaenda kununua madeni kwa bei rahisi kisha akaja na nyaraka BoT na pesa akalipwa tsh!Kwa mantiki hiyo kuna fedha ilikuwa BoT kwa ajili ya madeni hayo!Kwa namna yoyote ile fedha kwenye mzunguko iliathirika kwa pesa hiyo kukumbatiwa tu BoT!Kumbuka BoT haifanyi biashara bali huwa inakopesha mabank kwa riba nafuu kama huduma tu!
Ninachosema hapa sio movement ya tsh kwenda nje,bali pesa kuwa mahali ambako mzunguko wake hauwafikii wananchi hasa kama fedha hiyo ni nyingi!Mfano tumenunua ndege,fedha ambayo tungepata kwenye korosho inacover deni la ndege!Huoni hapo kodi ya wananchi imeenda kulipa madeni na kupunguza mzunguko kama ambao ungekuwepo tungekuwa hatujaingia kwenye madeni?
 
kama umesoma vizuri nlichokuandikia nmetoka kukwambia BOT hawakai na tsh, kama unakumbuka laizer alivopata yale madini hakupewa cash na wala BOT hawana cash ya kumpa, wanachofanya wanaandika an IOU kwa bank za ndan ya nchi then bank wanampatia hizo pesa of which hawezi kutoa zote but at the same time ile IOU wanabaki nayo hao bank as an asset, just incase sku they might need some! remember commercial banks ndo wana create money so they are elligble to receive IOU's

- The whole economic system ndo inavorun, exchange of depts plus faith on the USD, hakuna real money not unless its those who use gold reserves
 
Back
Top Bottom