bado ni rais; katiba haimuwondolei urais mpaka siku rais mwingine akiapishwa. Rais mawaziri, wakuu wa mikoa na spika bado wana nafasi hizo hadizinapojazwa na mwingine; nchi haiwezi kuongozwa na ombwe.Kumbe bado Ni rais?! Nilijua ameshakabidhi madaraka kwa kujibu wa sheria ya uchaguzi na Katiba..
Huyo ni mgombea wa urais na sio rais wa nchi...
Pumzi imekata kakimbilia kwa mama kusema 😄😄😄😄Wewe ni nyumbu tangu lini nyumbu akaona akaelewana na simba?
Ninakumbuka vizuri, gari la Mrema lilisukumwa na washabiki, siku ya uchaguzi walikuwa majumbani kwao wanalalana au kwenye biashara zao.Sasa hiyo 90% unaipima na kuipataje ikiwa mgombea wa CCM hana mvuto, mpaka malori yatumike, shule zifungwe na wanafunzi wahudhurie?
😂So mo dewji analala tu,pumzi imekata bwashee😃😃😃
Kama ni msikivu muite kwenye mdahalo kama atakuja!Tatizo watu wanakuwa na maana zao za usikivu na unyenyekevu ambazo ni za kumtaka kiongozi aendeshe nchi kwa matakwa yao.
Tupo milioni 59 ikiwa rais atamsikilza kila mtu hip haitakuwa nchi bali itakuwa Bar.
Kampeni hazijadorora tena zimeboreshwa kwani mashambulizi yanatokea kila upande.
Mama Samia, Pinda, Kikwete, JPM na Majaliwa wanashambulia jukwaa katika mikoa tofauti huwezi kulinganisha na Lissu anayetembea mkoa mmoja hadi mwingine na akipitisha michango kwa wanaomsikiliza.
Mkuu ubora upo na ukitaka ushahidi wa ubora ni tarehe 28 Oktoba mwaka huu.Narudia tena, wingi sio ubora. Watanzania tupo wengi na tuna ardhi kubwa kuliko Sweden au Uswisi, lakini sisi ni masikini wa kutupwa. Hivyo wingi au ukubwa bado haiminishi ubora. Dunia ya sasa kipimo cha kwanza ni ubora na sio wingi.
Kuwa na wingi wa mikutano haimaanishi ina ubora wa content. Utekelezaji wa sera ya ccm hayo ni malengo waliyojiwekea ccm, na sio matamanio ya wananchi. Ukitaka kujua ilani ni mipango ya chama na sio lazima iwe matamanio ya wananchi, angalia mkutano wa masaa tuseme matatu, masaa mawili ni burudani, nusu saa ni wapambe kujisifia wao na chama chao, kisha mgombea anatumia dakika 10-15 kuhubiri atakacho. Hakuna mwananchi anauliza chochote, wala kushauri chochote. Katika mazingira kama hayo una uhakika gani kuwa hiyo ilani ya chama imekidhi matamanio ya watu, zaidi ya watu kushurutishwa kukikubali chama?
Kunywa maji mkuu, mbumbumbu wa nini hapo?Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Ninakumbuka vizuri, gari la Mrema lilisukumwa na washabiki, siku ya uchaguzi walikuwa majumbani kwao wanalalana au kwenye biashara zao.
Lowasa alijaza nyomi siyo ya karne hii, mwishoni mkasema CCM imeiba kura.
Keshokutwa mmeandaa vitisho eti msiposhinda, damu itamwagika.
comrade wala hii hatujasema kuwa ni hoja, bali ni maongezi tu tunafanya.Nyie ni wapuuzi sana kila kitu kwenu ni hoja. Nyie ndio mbumbumbu mnaosemwa na Selemani bwege
Hivi ndiyo huyu alikuwa anapiga pushup kipindi kile?Kupumzika ni vizuri kwa afya,mwacheni mzee apumzike.
Kuna tafsiri nyingi hapaKatika hali inayoashiri mikikimiki ya Campaign, Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi amepumzika kufanya kampeni.
Wachambuzi wa mambo wanatafsiri kuwa kampeni za Mwaka huu zimekuwa siyo nyepesi kama zilivyodhaniwa.
Magufuli ambaye mwaka 2015 alizunguuka kwa barabara nchi nzima, inaonekana dhahiri kuwa safari hii hawezi kuifikia rekodi ya mwaka huo. Safari hii inaonekana ameweka nguvu zaidi katika mikoa ya ukanda wa ziwa huku Wapiga kampeni wengine wakienda kanda nyingine.
Hata hivyo wapiga kampeni wake yaani Mama Samia na Kassim Majaliwa hawana mvuto mkubwa wa kisiasa wa kuweza kuchangia kura za maana kwa Magufuli.
Wakati huohuo mgombea wa Chadema Tundu Lissu ambaye ana faida ya kujinadi mapema makhsusi kwa ajili ya uchaguzi huu kwa kisingizio cha "kutafuta wadhamini" ameendelea kuchanja mbuga kwenye ngazi ya jimbo kwa jimbo baada ya kumaliza kupiga show kwenye ngazi ya kanda kwa kanda.
Sambamba na ngazi ya Jimbo kwa jimbo, Chadema watafanya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ili kuhakikisha wanamng'oa Magufuli madarakani.
Bado haijajulikana kama kupumzika huku kwa mgombea wa CCM ni routine ya kawaida tu au uchovu au afya, tunangoja chama cha mapinduzi kitujuze zaidi.
View attachment 1567050
Kwa muda gani?Inawezekana amepewa ushauri wa daktari, muache apumzike tu.
Ningekuwa slowslow kwa utopolo huu leo buku 7 usingepataMwingine anaweza kusema mwaka 2015 alitumia nguvu kubwa na akapita maeneo mengi kwa sababu kazi ilikuwa ngumu hata matokeo ya Uraia yalisadifu hilo.
Mwaka huu kazi ni nyepesi mno, kila mtu anaona kinachotokea, mwitikio wa Raia kwake na kwa wapinzani wake. ACT wameshanyosha mikono, CDM ndiyo Kama hivo, Juzi uliona Raia wa pwani Kama vile hawamjui, Jana Morogoro mjini umeona hali mwenyewe, kule Mheza ilikuwa aibu. Hata Makamanda tangu Mlivyoposti picha za Mbeya, hamjaposti tena, utafikiri Mgombea wenu yupo likizo naye.
Sasa kwa namna hiyo kwanini asipumzike Budha. Game imekuwa nyepesi mno.
Kama umegundua, wanachokifanya CCM baada ya uhakika wa Kushinda, ni kuhakikisha mtu anapata kipigo cha mbwa koko, hicho ndicho kinachofanyika kwa Sasa.
Tupe kipimo cha kuwa watanzania wamemkataaAnatia aibu huyu mgombea. Miaka 5 ikulu lkn watanzania wanamkataa kama wote.
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako...Mbumbumbu chadema
Huo muda wa mdahalo unatumiwa kwa kampeni nyingine zenye tija zaidi.Kama ni msikivu muite kwenye mdahalo kama atakuja!
Usiige maisha ya walionacho, utakufa njaa mkuu,Mkuu hoja ni Magufuli kupumzika baada ya kuchemsha
Kama hujui rais wa Tanzania hadi sasaivi huwezi kuelewa tulia tuu usubiri matokeoNdio umeandika Nini...
Kama Ni rais anaomba kupigiwa kura za Nini?!