Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Kwani ashawah kuwa na mvuto uyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga walisema akutukanaye hajuchagulii tusi. Kweli unawaambia watu wa Nzega habari za flyover au Moshi habari za meli mpya.Ma flyover ya dar unawasimulia watu wa nzega watakuelewa unazani?
Sawa mkuuPoint of correction
Jararani - Jalalani
Mbona wanasema ulaya kuna mabeberu halafu tena sisi tuwe kama waoAtageuza Tanzania kama ulaya ,aigeuze tena kama mabeberu mbona haeleweki, mzee amechanganyikiwa hadi anaropoka
Kwa hiyo wafanyakazi wa serikal wanatumika na mabeberu?Hiyo ni sheria, Ccm haizungumzii vitu vidogo vidogo
Ccm haifuati wagombea wanatumika na Mabeberu
Kwa hiyo wafanyakazi wa serikal wanatumika na mabeberu?
mahindi ya morogoro kwa jamaa ambaye kanenepa awamu ya 5Kwani hajaanza kula mahindi?
Kawahutubie wapuuzi wenzio huu ujinga. Nchi hii watumishi wote ni wanajeshi? Au mnadhani sisi walimu hatujui kwamba mmewaongezea wanajeshi laki 1 kila mtu?Wenzako wameongezewa mshahara labda km Wewe umeajiriwa makao makuu ya Chadema ndio hawajaongezewa
kama mmekula vitabu na hamjui mfanye nini badala yake ni kubwabwaja masaa 24,si afadhali hao wawinda ndege???Nilichogundua magufuli anafagiliwa na wale waliokuwa wanawinda ndege kipindi wenzao wanakula kitabu
Na kwa kuwa Tanzania yetu ndio imejaa watu wa aina hii hatuna budi kukubali kusikia akiongezewa mitano mingine
Ina maana Kigogo hajakamatwa?Mleta mada atakuwa anamfuatilia Magufuli kupitia account ya twitter ya kigogo
Na upande wa pili wameahidi Nini??Wakati kampeni hazijaanza alikuwa mwenyewe kujiimarisha, cha kushangaza jinsi siku zinavyoenda amezidi kuporomoka na watu kumwona hana jipya kwenye kampeni zake.
Sera anazoongea hazina mashiko amebaki na sera za kukejeli na vijembe ambavyo wananchi wanaona hana kipya.
Amekaa miaka yote 5 kapunguza ajira halafu leo anakuja tena kusema ataleta ajira mil 8,mara mimi sitoki nje ya nchi ni mzalendo,ajira elfu 8 kashindwa ataweza mil 8 kama siyo kutuletea comedy, vile vile kutokwenda nje ya nchi haionyeshi kwamba we ni mzalendo ni hofu yake tu.
Kusema Lissu siyo mzalendo kisa amekaa nje ya nchi haina mashiko ni kuropoka tu maana hakuna asiye jua alienda kwa matibabu.
Magufuli anaenda kuwa Rais wa awamu moja dalili zote zinaonyesha ,wafanyakazi wamemchoka ,wastaafu wamemchoka ,vijana wamemchoka, wazee wamemchoka na kila mtu anamwona vyote anavyoongea ni usanii tu
Ni homework yako kutuletea wameahidi niniNa upande wa pili wameahidi Nini??
huelewi hata maana ya sera ,sera hutamka jumla kwenye utendaji ndio kunakuwa specific.mfano sera inaweza tamka lengo ni kuboresha maisha ya mtanzania unapoingia kwenye utekelezaji ndipo kila mhusika anatoholea hapo.Hii ni sera ambayo watumishi hawajaisikia kutoka ccm, kwanini hawataki kuigusia, ina maaga sio muhimu kwa watumishiw ote wa umma?, je watumishi wana hali gani kutosikia sera hii kutoka ccm.
Mimi nikiwaletea mtaniona na Mimi ni mwongo Kama mgombea wenu wa ChademaNi homework yako kutuletea wameahidi nini
We lete tutachambua mi nimeangalia mikutano ya CCM na ninaeleza nilizoona hadi unajiuliza huyu mtu ana akili timamu kweli?Mimi nikiwaletea mtaniona na Mimi ni mwongo Kama mgombea wenu wa Chadema
Umetumia ufahamu wako wote kuhisi kuwa wewe ndio mwenye akili timamu??We lete tutachambua mi nimeangalia mikutano ya CCM na ninaeleza nilizoona hadi unajiuliza huyu mtu ana akili timamu kweli?