Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

wale waliomzomea wamemchanganya kabisa leo. yani huyu jamaa dawa yake ndogo sana watu wakiingia barabarani wiki moja anakimbia nchi.
Atakimbilia nchi gani?Jirani aliyebakia ni Urundi pekee,kwa mabeberu hawezi kupokelewa hivyo nchi atakayoweza kimbilia pengine Chattle.
 
Lissu anamkoroga Meko nadhani ilifika wiki ya 3 ya kampeni ataomba poo
 
Katika uchaguzi ambao wapinzani watapigwa vibaya mnoo na ccm ni huu wa mwaka 2020 kwa sababu wapinzani bila nguvu ya ukawa hawawezi kushindana na ccm.

Hebu fikiria uchaguzi 2015 ambao uliwapa wapinzani wabunge wengi,madiwani wengi sababu ya nguvu ya ukawa

Leo hii ACT,CHADEMA,CUF,NCCR kila chama kinasimamishq mgombea wake wa uraisi ubunge udiwani alafu mnategemea mtashinda kweliii
Jiwe leo kapandwa na jazba jukwaani ww wafikiri ni kwanini?? Kashashindwa kwenye kampeni. Sasa hivi ni mwendo wa Ukabila na Vitisho. Navyo vitashindwa.
 
Hhhahahaa Ila huyu jamaa ni zumbukuku na mwoga eh...eti anasema ni kma umeweka chakula Cha mwanao ukaja ukawapa majirani...Sasa ole wenu mchague majirani..anaumwa huyu jamani ...kuwatisha watu namna hii jaman utadhani sio nchi yao!!...
Magufuli acha kutisha watanzania wewe! Rudi nchi yako😒😏
M
Yaani upinzani wamekaa mahakamani, polisi na magerezani miaka mitano yote ila wana furaha, vicheko. CCM wana makasiriko, shuruba, ghadhabu, nyongo na bado washajipitisha bila kupingwa sehemu kadhaa; sijui wanashida gani.
 
sheria ya uchaguzi inasemaje kuhusu kutumia lugha zisizo rasmi kwenye kampeni za uchaguzi,
1599400012678.png
 
Hhhahahaa Ila huyu jamaa ni zumbukuku na mwoga eh...eti anasema ni kma umeweka chakula Cha mwanao ukaja ukawapa majirani...Sasa ole wenu mchague majirani..anaumwa huyu jamani ...kuwatisha watu namna hii jaman utadhani sio nchi yao!!...
Magufuli acha kutisha watanzania wewe! Rudi nchi yako😒😏
M
Magu ni mtanzania kweli ?
 
angeongea kimalkia sidhani kama ungepata kihere here cha kuleta bandiko hapa, lugha zote ni sawa.
 
Hhhahahaa Ila huyu jamaa ni zumbukuku na mwoga eh...eti anasema ni kma umeweka chakula Cha mwanao ukaja ukawapa majirani...Sasa ole wenu mchague majirani..anaumwa huyu jamani ...kuwatisha watu namna hii jaman utadhani sio nchi yao!!...
Magufuli acha kutisha watanzania wewe! Rudi nchi yako[emoji19][emoji57]
M
Aisee kumbe ndio tafsiri yake? Asante kwa kutufungua macho. Huyu bwana hafai kuwa kiongozi nadhani hata hapo kwenye mkutano wamemshangaa.
 
angeongea kimalkia sidhani kama ungepata kihere here cha kuleta bandiko hapa, lugha zote ni sawa.
 
Nani amchague huyo anaesema msipochagua ccm mtajuta. Hatulazimishwii. CCM labda itumie NGUVU kupita watanzania hatutakubalii.
[emoji38] [emoji38] ni afadhali ujue mbivu na mbichi kabla hujachukua maamuzi yako.

magu hauwezi unafiki, anakuchana kabisa. saaa kachague mtu kisa amenyoa vyema pank, utajua hujui.
 
Twende na hapa.
 
Jiwe leo kapandwa na jazba jukwaani ww wafikiri ni kwanini?? Kashashindwa kwenye kampeni. Sasa hivi ni mwendo wa Ukabila na Vitisho. Navyo vitashindwa.
Jamani huu ujinga wa kuota mchana utaisha lini ?
 
[emoji38] [emoji38] ni afadhali ujue mbivu na mbichi kabla hujachukua maamuzi yako.

magu hauwezi unafiki, anakuchana kabisa. saaa kachague mtu kisa amenyoa vyema pank, utajua hujui.
Huo siyo ukweli ni ujinga na ulimbukeni wa madaraka .najuta kumpa kura yangu mwaka 2015
 
Back
Top Bottom