Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Hujui majukumu ya hao wazee uliowataja kaa kimya.Mfano mdogo tu, unataka Butiku ampigie kampeni mgombea wa ccm, je unajua wadhifa wake na ni taasisi gani.Fanya home work yako.
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm kama Gwajima
 
Wapi Butiku, Wapi Mangula, Wapi Kinana, Wapi makamba,Wapi Warioba.

Popote walipo hawa wazee mbona mwaka 2015 walikuwa busy Sana kusema Lowassa ni fisadi.

Vipi wamepata majibu tulipo waambia tatizo la nchi hii ni CCM na mfumo mbovu waliouhasisi?.

Njooni Mtetee vitambulisho vya Machinga wenye mitaji ya elfu 15 halafu wanatozwa kitambulisho Cha elf 20.

Njooni mtetee uwanja wa ndege chato.

Njooni mtetee Mbuga ya wanyama chato...

Nasema njooni tafadhari maana siwaoni majukwaani mkivitetea hivi vitu.

Tundu Lissu atawashangaza sana Mwaka huu lazima turudishe nchi yetu kwenye Uhuru Haki na maendeleo yao.

Hatuwezi kuendelea kuacha nchi chini ya Ngedere.

Tukutane October.
IMG-20200920-WA0088.jpg
 
Ngedere ni nani sasa hapo
 
Unazungumzia wazee wapi hao? Kikwete yuko kusini, mzee pinda anapiga Nazi, kinana Arusha! Ccm ina wenyewe wewe pambana na hali yako! Upinzani labda mpate raisi wa twita sio Tanzania
 
Baba anaumwa ugonjwa wa political split personality yaani dakika moja anaapa kuwa maendeleo hayana vyama akigeuka upande wa pili anatufokea tusipompa ampendae basi hakuna barabara etc kwa miaka mitano ijayo.

Huyu mgombea haeleweki! Anaposema "maendelelo hayana vyama" anamaanisha anachosema?
Kayasema Simiyu, Mara, nk. na sasa kayarudia Tabora.
 
Hujui majukumu ya hao wazee uliowataja kaa kimya.Mfano mdogo tu, unataka Butiku ampigie kampeni mgombea wa ccm, je unajua wadhifa wake na ni taasisi gani.Fanya home work yako.
Mwaka 2015 ulikuwa wapi wakati akimpigia kampeni wazi wazi Magufuli?
 
Mizengo Pinda Anapasha joto Arusha,Manyara na Kilimanjaro huku Samia Suluhu akitoa sauti mororo huko kusini Peramiho.
Dada Ummy Mwalimu Kaishika Tanga kisawasawa.
Kaskazini Unguja Kwa utulivu Mwinyi Juniour anamwaga Sera .
Kwa Tanga Ummy amekamata Barabara. Hakuna mpinzani atatoboa huko.
 
Kwa nini CCM msitayarishe watu wa kumzomea Lissu iwe kama Magfuli alivyodhalilishwa?
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu mgombea haeleweki! Anaposema "maendelelo hayana vyama" anamaanisha anachosema?

Kayasema Simiyu, Mara, nk. na sasa kayarudia Tabora.

Je, majimbo ya wapinzani hawatoi kodi? Je, hiyo miradi ya maendeleo anatumia pesa zake binafsi?
View attachment 1575328
Watanzania hatuna hulka ya kubaguana lazima tujiulize huyu anayeyafanya haya ndani ya nchi yetu ni mwenzetu kweli
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Bukoba bashomile, john walimzomea
 
Huyo jamaa hata Janeth haziivi sembuse wazee hao? Walikwishamuita mshamba kwenye simu zilizodukuliwa. Mtu asiye na shukurani, ambaye amewasahau kabisa waliomsaidia 2015. Sasa unataka wamsaidie tena 2020? Nguvu yake kubwa kaweka NEC. Kajigaje akipata uoga wa Mungu na kumtangaza mshindi halali mwaka huu, huyo jamaa anarudi Chattle alfajiri mwishoni mwa mwezi ujao. Na uhakika akina Kikwete watampa Lissu kura zao.
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
Ujue unatetea ushoga, ujue tutakuwa koloni la ubelgiji, ujue umemchagua mbelgiji kuwa rais wa Tz, ujue Tz itakuwa ya majimbo badala ya umoja wa kitaifa, ujue muungano umevunjika, ujue tumekaribisha rasmi yale ya kibiti, ujue kujitoa mhanga kumeingia Tz.

Sasa mpigie kura ufie Tz halafu yeye arudi kwake Ubelgiji.
 
Dr Magufuli amewataka wakazi wa Kaliua kutofanya makosa ya kuchagua mbunge wa upinzani tena kwani duniani kote hakuna Upendo wa kumpa chakula mtoto wa jirani wakati wa kwako ana njaa.

Dr Magufuli amesema hata barabara ya Kaliua imejengwa kwa heshima ya mzee Kapuya hivyo wasimwangushe.

Tundu Lisu atakuwa na wakati mgumu sana mkoani Kagera kwa sababu CCM imefanya kampeni kisayansi sana na Dr Bashiru anaendelea kufukia mashimo.

Maendeleo hayana vyama!
Kaka Wahaya ni namba nyingine kabisa huwa hawatishiwi nyau na hata siku mmoja usiwakejeli kamwe kwani huwa hawasahau...subiri tarehe 28.10. uone ndiyo utaelewa kama kweli Dr. Bashiri alifunika mashimo au alifunua mashimo....
 
Ujue unatetea ushoga, ujue tutakuwa koloni la ubelgiji, ujue umemchagua mbelgiji kuwa rais wa Tz, ujue Tz itakuwa ya majimbo badala ya umoja wa kitaifa, ujue muungano umevunjika, ujue tumekaribisha rasmi yale ya kibiti, ujue kujitoa mhanga kumeingia Tz.

Sasa mpigie kura ufie Tz halafu yeye arudi kwake Ubelgiji.
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
 
Wapi Butiku, Wapi Mangula, Wapi Kinana, Wapi makamba,Wapi Warioba.

Popote walipo hawa wazee mbona mwaka 2015 walikuwa busy Sana kusema Lowassa ni fisadi.

Vipi wamepata majibu tulipo waambia tatizo la nchi hii ni CCM na mfumo mbovu waliouhasisi?.

Njooni Mtetee vitambulisho vya Machinga wenye mitaji ya elfu 15 halafu wanatozwa kitambulisho Cha elf 20.

Njooni mtetee uwanja wa ndege chato.

Njooni mtetee Mbuga ya wanyama chato...

Nasema njooni tafadhari maana siwaoni majukwaani mkivitetea hivi vitu.

Tundu Lissu atawashangaza sana Mwaka huu lazima turudishe nchi yetu kwenye Uhuru Haki na maendeleo yao.

Hatuwezi kuendelea kuacha nchi chini ya Ngedere.

Tukutane October.
Hata Mbowe kajitenga na Lissu why?
 
Kaka Wahaya ni namba nyingine kabisa huwa hawatishiwi nyau na hata siku mmoja usiwakejeli kamwe kwani huwa hawasahau...subiri tarehe 28.10. uone ndiyo utaelewa kama kweli Dr. Bashiri alifunika mashimo au alifunua mashimo....
Ngoja tuone hiyo kesho waitu!
 
Back
Top Bottom