Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020Hujui majukumu ya hao wazee uliowataja kaa kimya.Mfano mdogo tu, unataka Butiku ampigie kampeni mgombea wa ccm, je unajua wadhifa wake na ni taasisi gani.Fanya home work yako.
Achana na takataka za ccm kama Gwajima