Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAENDELEO ni kodi zetuAkiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Kama Sasa hivi malofa ikiongezewa hiyo sera ya majimbo ndio ulofa utazidi.... mbona una-expose ujinga? Unakubali as of now Singida kwa Lissu ni malofa na maskini wa kutupwa; ni kwa sababu ya sera ya majimbo inayoongoza nchi kwa sasa ama?
... kwa vigezo gani? Ukifeli wewe unadhani kila mtu atafeli?Kama Sasa hivi malofa ikiongezewa hiyo sera ya majimbo ndio ulofa utazidi
Mlipa Kodi anasena hataki maendeleo ya vitu na kachagua chama ambacho hakitaki maendeleo ya vitu kuwa huo ndio msimamo wao sera ya maendeleo ya vitu hawaitaki unawapelekea barabara au hospital au maendeleo ya vitu ya Nini?Wasipochagua chama chako usiwachukie...
Kumbuka hii Sera ilikuwa kwenye Rasimu ya WariobaSingida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Hilo vibaka wa Lumumba hawalijuiKuna hela zitatoka central government kwa akili ya miradi ya maendeleo kama jimbo halijitoshelezi.
Huyo hana uwezo bana anachojua ni kufokaAkiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.
Na kwenu Chato?Singida kwa Lisu wanakotegemea kuuza alizeti wataongoza kwa umaskini Tanzania
Huyu jamaa yaani siasa zake ni za fear mongering....Akiwa Urambo JPM amewaonya watanzania kuwakataa wanaohubiri kuigawa nchi katika majimbo, sera hiyo ni hatari kwa mstakali wa umoja wa Taifa letu,amesema sera hiyo ni ubaguzi mtupu kwani majombo masikini yatabaki maskini.