Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uu ndio mwaka ambao CCM wanatumia nguvu kidogo kushinda uchaguzi mkuu, 2015 CCM ilitumia nguvu zake zote kushinda uchaguzi. Mwaka uu wame relax. Upinzani inabidi ujitafakari.
 
Hizi ndizo hesabu, huwa haziongopi. Mwaka 2015 Magufuli aliungwa mkono na makundi mengi tena waziwazi kabisa, lakini baada ya miaka mitano, anaungwa mkono na makundi machache sana waziwazi, na anapingwa na makundi mengi. Wengi wanaompinga wanampinga kwa siri na wachache waziwazi.

Mwaka huu kazi ipo
Porojo, research za vichochoroni. Utajionea kijani tupu hiyo 0ct 28.Kazi tu.
 
Hizi ndizo hesabu, huwa haziongopi. Mwaka 2015 Magufuli aliungwa mkono na makundi mengi tena waziwazi kabisa, lakini baada ya miaka mitano, anaungwa mkono na makundi machache sana waziwazi, na anapingwa na makundi mengi. Wengi wanaompinga wanampinga kwa siri na wachache waziwazi.

Mwaka huu kazi ipo
Endelea kujiongopea mkuu, majibu kwny sanduku la kura
 
Upande wa magufuli unatumia nguvu kubwa mno kuwapata wasikilizaji na waongeza vichwa, Lakini Kwa upande wa lisu, wananchi wanatumia nguvu kubwa na garama kubwa ili kumuona lisu, aisee

Ukitizama Kwa kutumia akiri utagundua kuwa Ccm watakuwa wameishatumia zaid ya bilioni kumi had sasa Wakati upande wa chadema Nina Uhakika lisu hata milioni Mia nne haijafika, Lakini aliefaulu kupata Wateja ni lisu alietumia garama ndogo sana, yani tofauti ni kubwa mno mno, ukijumlisha malipo Ya TV, radio, magazeti, posho za waongeza vichwa posho za watu Wa usalama, posho za vigogo, mabango, Magari, Ndege usafiri malazi, posho za wapambe, Ccm zimezid billioni kumi ila ukija Kwa lisu hata milioni Mia nne itakuwa haijafika Lakini Kwa kushangaaa nikuwa huyu lisu ndio kapata Sana, kafanikiwa Sana

Kweli kizuri cha jiuza kibaya cha garamia

Halafu lisu anatembea na kuzunguka na watu sio zaid ya kumi huku magufuli anazunguka na watu si chini ya Mia tano daaaah
 
Kuna watu maji yako shingoni ,punzi zimeshaisha wanatamani kupiga kura iwe kesho, wamezidiwa kila kona ,wamepanic mno.

Walikuwa wanafanya kampeni wenyewe miaka 5 huku wamebinya wengine.

Wamekalia kuti kavu ,mbuyu unadondoka mda wowote .

Mbinu iliyobaki ni kuiba kura au kufuta uchaguzi ila zamu hii hamtoki.

Tar 28 kila mtu ana jambo lake
Wafanyakazi tuna jambo letu,
Waliokosa ajira tuna jambo letu,tulioliwa Rambirambi na kejeli tuna jambo letu,wazee wa pension tuna jambo letu .

Mnajaza wasanii bado nyomi sawa na ya mgombea ambaye yuko peke yake.

Pangeni vizuri mbinu ya uwizi au kufuta matokeo zamu hii hamtoki siyo yule lowasa wa zungusha ngumu halafu hana hoja.
 
1601023654437.png
 
Hatuwezi kukubali hasara hii kubwa ya kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege kijijini mwa rais wakati hakuna sababu za msingi, Hiyo mbuga ndio kwanza wanaweka wanyama, manake wamefosi tu. Serengeti inayojulikana duniani kote hakuna kiwanja cha ndege cha kimataifa, kwanini chato-burigi?
Kiuchumi,kijamii na kimantiki swali hili ni gumu kujibiwa!!!
 
Kuna watu maji yako shingoni ,punzi zimeshaisha wanatamani kupiga kura iwe kesho, wamezidiwa kila kona ,wamepanic mno.

Walikuwa wanafanya kampeni wenyewe miaka 5 huku wamebinya wengine.

Wamekalia kuti kavu ,mbuyu unadondoka mda wowote .

Mbinu iliyobaki ni kuiba kura au kufuta uchaguzi ila zamu hii hamtoki.

Tar 28 kila mtu ana jambo lake
Wafanyakazi tuna jambo letu,
Waliokosa ajira tuna jambo letu,tulioliwa Rambirambi na kejeli tuna jambo letu,wazee wa pension tuna jambo letu .

Mnajaza wasanii bado nyomi sawa na ya mgombea ambaye yuko peke yake.

Pangeni vizuri mbinu ya uwizi au kufuta matokeo zamu hii hamtoki siyo yule lowasa wa zungusha ngumu halafu hana hoja.
Magufuli anatakiwa awajibishwe na wananchi wote wa Tanzania kwa umoja wao bila kujali kabila, dini, jinsia nk. Ikumbukwe kuwa kila Mtanzania ameibiwa
 
Waheshimiwa wanabodi,

Niombe kumpigia kampeni mheshimiwa John Pombe Magufuli. Sijatumwa na mtu na wala mimi sio mwana CCM, ila naona ni itakuwa vema wewe uanesoma uzi huu, ukimpatia kura yako huyu mzee.kutoka chato.

Ana mazuri yake na mapungufu pia. Tumpe amalizie miradi aliyoianzisha.

Na pia nishauri akirejea madarakani ampe Lissu nafasi ya uongozi i mean ampe uwaziri wa sheria na katiba.

Ni hayo tu nisikuchoshe.

Mitano tena itamtosha.

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom