Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

kama ngome yake ya kanda ya ziwa rasmi imekua ngome ya Chadema ndio aje kufufuka Mbeya embu kuwa serious basi babu Yehodaya
Hivi mfano Geita na Mwanza tu mnauwezo wa kupata viti vingapi vya Ubunge? CDM ma Kanda ya ziwa wapi na wapi ? Mshasahau 2015? Au Yani umati wa mgombea wenu na PM majaliwa unalingana alafu mnasema kanda ya ziwa ngome yenu!
 
Kumbe sasa hivi mmeanza kuangalia 'umati wa watu'
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3577][emoji3577][emoji382][emoji382]
 
Magufuli kama ingekuwa ni uwezo wake Mbeya asingekanyaga kabisa, sema basi tu atafanyaje, 2015 alizomewa pale hana hamu.
Safari hii tutamrushia makopo ya mikojo.

Tena aje na 'passport' na hati iliyosainiwa na Rais wa Mbeya Mh Sugu![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji382][emoji382][emoji16]
 
Huko hakuna wajinga zaidi kuna waliosombwa na kulipwa 5,000 ambao utawakuta wamenuna km hawa....
 
Attachments

  • IMG-20200929-WA0085.jpg
    IMG-20200929-WA0085.jpg
    144.5 KB · Views: 1
Dk MAGUFULI kesho anatua MBEYA Chadema matumbo moto
majidai yenu yanaenda kuzimwa kesho mbeya

Utamaduni wa wanawake wa mbeya upiga magoti kwa wanaume wakati wa kusalimiana au kuwapa vitu kama maji n.k, Sasa huyo akifika huko atafanyaje? Au atapiga magoti kama wanawake?
 
Mkuu kesho MONDI yupo? lah inabidi nije aisee!!
Afu Ally inakuwaje? yeye lini anapanda?
 
Magufuli keshamaliza kazi anaenda kumalizia kusafisha na kuondoa uchafu kidogo uliobaki.
 
Magufuli kama ingekuwa ni uwezo wake Mbeya asingekanyaga kabisa, sema basi tu atafanyaje, 2015 alizomewa pale hana hamu.
Angalia maandalizi yameanza leo wanasema wanaondoa nuksi alizoziacha msaliti Lissu. Angalia kwa macho yako hapa chini.

Back
Top Bottom