cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,260
- 1,629
SawaHakika kazi zilizosimamiwa na Dk. Magufuli kwa maendeleo yaliyofanywa nchini ndani ya miaka mitano ni kubwa sana.Ilani ya CCM ya uchaguzi 2015-2020 imetekelezwa ipasavyo kwa kishindo.
Tusibeze maendeleo haya. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni huyu mzee.