Huu ni upuuzi gani unaandika wewe?
 
Shamba lipo fukayosi bagamoyo..lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.

Lipo fukayosi bagamoyo - km 10 kutoka bagamoyo road, shamba lina heka 15.

Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.

Bei ni milioni 18 tu, nauza lote sikati nusu nusu.

Mawasiliano 0677 818283


NB: Umbali wa km 10 ni wastani wa kutoka ubungo mataa mpaka mbezi mwisho.
 
NB: Umbali wa km 10 ni wastani wa kutoka ubungo mataa mpaka mbezi mwisho.

Sio umbali wa kutisha kwa shughuli ya shamba...na barabara ipo vizuri
 
Why do you sell it?
 
Mkuu hilo shamba liko upande gani wa barabara Kama unatokea Bagamoyo kwenda Msata. Kulia au Kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…