Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 454
- 666
Huu ni upuuzi gani unaandika wewe?Hapo keshanunua pengine hata mwaka umepita, sasa siku moja wapo wakati anarudi ndio ana hicho kiasi cha 2m probably kwenye gari, wanam-tight getini wanamuibia 2m na kumtoa uhai huku akiacha mjumba huo wa wa 155m na wao wanaiba hiyo 2m, mbona maelezo yake yalikua very clear