Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Haya ni Majeshi ya Urusi yakiwa yanaretreat Kherson. Wamedai kushambuliwa na Ukraine wakati wanaretreat. 🤣🤣🤣

Yaani wanataka kutupangia ni wakati gani tuwashambulie na tushambulie wapi? Sisi tuna ratiba yetu na inaendelea kama kawa
Your browser is not able to display this video.
 
Azov Regiment au unaweza kuwwita Azov Battalion, wameagizwa waelekee Kherson. Hawa ni vijana wasio na kanuni na wanaofyatua risasi za Kikatili.
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi wajinga, wanatakanga kuretreat wakati wanajeshi wao hawaja tayari. Sasa hawa wamelazimika kutembea kwa Miguu baada ya kuona Wanajeshi wa Ukriane wanakaribia. Na daraja wamelibomoa maana yake, hakuna vifaru kuvuka. Hapa ni Kherson Antonovsky
Your browser is not able to display this video.
 
Wanaoondoka bila shuruti na wakiwa wanyonge😂😂😂. Wakati walivamia kwa mbwembwe.

Moral ya kupigana ni zero kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…