Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Haya ni ant tank au ant personnel?Haya mabomu yote ya ardhini, yameteguliwa katika barabara moja tu ya Kherson.
View attachment 2412887
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni ant tank au ant personnel?Haya mabomu yote ya ardhini, yameteguliwa katika barabara moja tu ya Kherson.
View attachment 2412887
Kwa muonekano wao bila Shaka watakuwa ni special force.Tomaryne imekombolewa huko Kherson
View attachment 2412865
Ni TM-46 mine ya kisoviet. Anti-tank mine.Haya ni ant tank au ant personnel?
Kherson haikaliki tena...Wavamizi hawaamini macho yao.Ukraine wamekomboa Mji wa Borozenske huko Kherson. Mapambano hapa yamekuwa yakiendelea tangu 5 OCT 2022. Hatimaye Warusi wamekimbia
View attachment 2413121
Napata picha kwamba hakuna kinachosalimika.Aisee najaribu kuwaza huko yanapoenda kudondokea..
Fire & Steel Rain
Wanaoondoka bila shuruti na wakiwa wanyonge😂😂😂. Wakati walivamia kwa mbwembwe.Warusi wajinga, wanatakanga kuretreat wakati wanajeshi wao hawaja tayari. Sasa hawa wamelazimika kutembea kwa Miguu baada ya kuona Wanajeshi wa Ukriane wanakaribia. Na daraja wamelibomoa maana yake, hakuna vifaru kuvuka. Hapa ni Kherson Antonovsky
View attachment 2413215