Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ndo Ofisi ya Wakina Jagajagaaa... Wanakuwa wanawaelekeza Washika Mtutu adui alipo. Wapelelezi hawa(reconnaissance). Hii ni Comand center inayoongoza Unit za Adam, Madyar na Skala... Huko Bakhmut. Hawa ndo Elon Musk anataka awazimie internet
Your browser is not able to display this video.
 
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Kunywa maji dada upoze roho,mwanamke pumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe,
ungekuwa mshauri mzuri mmeo asingefanya huo upuuzi,sasa umevuna ulichopanda.
Wapo wajane wengi ukraine wanalia kwa maumivu aliyoyasababisha mmeo
malipo ni hapa hapa duniani
 
Duuuh,hivi warusi wanaosifiwa kwamba wanapinga ushoga ni dini gani?
maana hizo vitu kwenye makaburi nilidhani ni misalaba lakini naona siyo au ndo alama ya wapagani?
 
Vipi kuhusu ATCAMS.
Nasikia USA kazingua kuzitoa. Hii itakuwaje?
Nadhani anatumia sheria ya kutompiga sisimizi kwa bunduki,kama silaha zilizoenda hazijashindwa kazi hakuna haja ya kutuma kubwa zaidi.
kumbuka wanajeshi wa ukraine nao ni binadamu,wanatekwa
sasa silaha yako ya kisasa ikitekwa usidhani inateketezwa bali wanaiba na technolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…