Kama kwako ni AI basi heshimu ufahamu wako hivyohivyo itakusaidiaMbona unaweka video AI ๐
Anaweza asishinde ila akakuacha hoi kama Iraq na Afghanistan huku amesimamisha tawala zinazomskilizaMarekani huwa ana jeuri ya kupigana vita vya hivyo na kushinda
Kwa sasa mambo ni tofauti ...kama sadamu tu aliwachezea miaka NATO YOTE SEMBUSE IRAN YA SASA.Anaweza asishinde ila akakuacha hoi kama Iraq na Afghanistan huku amesimamisha tawala zinazomskiliza
Thubutu, waambie waingize F-35 ikaangwe kama chips..Trump cuts short G7 trip over Middle East tensions as Israel and Iran exchange fire
Blasts have been heard in Tehran and sirens have sounded in Israel as US president convenes National Security Council.www.bbc.com
wenzako Iran wanasherehekea mtaani kukombolewa na Israel, wewe bado uko na AYATOLLAH aliyeji-exile???
View: https://www.tiktok.com/@quiztimeusa0/video/7516081053082209558?is_from_webapp=1&sender_device=pc
Hiyo ni updated click linkHiyo habari sio mara ya kwanza tangu ijumaa inasemwa.
Kulingana na taarifa ndege za Israel sahivi hazishambulii toka Iraq ziko juu ya Tehran mchana kweupeThubutu, waambie waingize F-35 ikaangwe kama chips..
Iran bado ipo active angani na hakuna air superiority Israel imeweza.. wanachofanya ni Stand off Strike...
Msijidanganye jamani..
Following Israeli strikes that penetrated deep into Iranian territory and destroyed key air defense assets with minimal resistance, Russian military observers have begun openly questioning the reliability of their own systems-Aljazeera.comThubutu, waambie waingize F-35 ikaangwe kama chips..
Iran bado ipo active angani na hakuna air superiority Israel imeweza.. wanachofanya ni Stand off Strike...
Msijidanganye jamani..
Ameongelea wayahudi wote Duniani.Sio kweli. Wayahud wengi ni kutoka arabun. Ingawaje ni kweli wa ulaya ndio wengi wenye nguvu
Namaanisha hilo neno tangu Ijumaa limekua linazungumzwa.Hiyo ni updated click link
Ndege dunia ya sasa ni utopolo tu, nani wa kuhangaika na mandege..?Kwamba kazi ya ndege za kivita ni kurusha mabomu tu, hujui kama zinafanya ulinzi wa anga na kupangua missiles pamoja na ndege nyingine za maadui, ye Iran azitoe tuzione zije shindana na wale pisikali
Kabla hajajibu kasome kwanza ile analysis na najua unajua haujawahi kuona Iran akiweka nguvu kwenye ndege za kivita
Umeua nzi kwa nyundo.Ndege dunia ya sasa ni utopolo tu, nani wa kuhangaika na mandege..?
Inachofanya ndege na missiles zinafanya na kwa ufanisi mkubwa..
missiles zinakimbia kuliko ndege, missiles zinapunguza hatari ya maisha ya askari/rubani, missiles ina damage kubwa , missiles ina gharama ndogo...
Hizo ndege ambazo ni interceptors inaweza ku intercept hypersonic?
Kila inachofanya ndege missile inafanya mara mbili yake, Iran imewekeza kwenye drones na Missiles, labda nikupe siri moja, Iran imewekeza kwenye makombora zaidi na wamekuwa wataalamu na wanatisha ile mbaya... Israel hawana missiles kama za Iran ndio maana kutwa kuzunguka na mapipa mwisho marubani wanakamatwa...
Kingine ndege ni biashara za watu, US military industrial complex companies kama boeing, lockheed martin, northrop, general dynamics, raytheon technologies n.k... hao ni wafanya biasharawakubwa ulimwenguni wa biashara za silaha..
Wanazipamba bidhaa zao ambazo ni hizo F-16, F-35 n.k ili wapate wateja... Iran inatengeneza missiles sio kupata wateja bali kujilinda..
F-15,F-16,F22, F-35 n.k zina gharama katika utunzaji na maintenance, usisahau vipuri, zikisafiri umbaliambao makombora ya Iran yanakwenda inabidi ndege zao zifanyiwe refueling angani.. kombora la Iran hakuna cha maintenance cost, hakuna sijui vipuri , hakuna cha refuel, likiwashwa Tehran ni kama ambulance hadi Tel Aiv...
Kumbuka licha ya hizi kampuni za kuuza silaha kuuza ndege, wanauza na vipuri vyake pia, kumbuka ndege ni mashine kama gari.. hivyo wanaingiza faida sana..
Kwanini Iran haihitaji ndege?
1-gharama nafuu ya uendeshaji.
2-gharama nafuu ya utengenezaji
3-range ni kubwa .
4-ni ngumu kudakwa na air defenses.
5-usalama wa muendeshaji.
Sasa Iran inahitaji ndege ili iweje?
Makampuni ya kutengeneza ndege wanakomaa kuonyesha umuhimu wa ndege vita ili kusudi biashara yao iendelee lakini amini kwamba drone na missiles ndio mpango mzima...
hebu elezea ndege itafanya kitu gani missiles haiwezi?
wenzako Iran wanasherehekea mtaani kukombolewa na Israel, wewe bado uko na AYATOLLAH aliyeji-exile???
View: https://www.tiktok.com/@quiztimeusa0/video/7516081053082209558?is_from_webapp=1&sender_device=pc
Hahahahaha ndo ujue hawa ndugu zetu dunia nzima lao moja tuuuKumbe habari ya bikra 72 ni kweli, mi nlidhani chai tu za kina sheikh kipozeo......
Nmeshtuka sana.
dini yao imetoa upendeleo kwa wanaume, wanawake haijulikani watapewa nini hukoKumbe habari ya bikra 72 ni kweli, mi nlidhani chai tu za kina sheikh kipozeo......
Nmeshtuka sana.
Kama mashushushu wanapunguzwa hii itasaidia kuirudisha Iran kwenye uimara wake haraka.๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ๐น๐ทIran executed a man named Ismail Fakhri, who was accused of spying for Mossad.
He is a Turk by nationality who was in direct contact with two Israeli intelligence officers and collected data on strategic sites inside Iran.