SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kapigana na wajinga wajinga sio ISRAEL watu wenye MUNGU ALIYE HAI hivyo Wacha uone mambo Iran hawezi kumaliza hata mwezi mmoja.. Israel kashapigana na mataifa mengi
Psychopath mwingine huyu.
Unaleta udini tena Wacha nkuignore nijadiliane na watu wenye uelewa.
Ila kabla sijakuignore nakuacha na elimu ndogo.

Iran ilipigana na Iraq ambayo ilikua inasaidiwa na USA,USSR,UK na France.
Ilisimama kwa miaka nane na ikashinda.
Israel inayosaidiwa na USA mwaka 2006 alipigwa na Hizbollah kikundi Cha Lebanon.
Leo hii uipambanishe na Iran?

Aya toka na upsychopath wako kwaheri.
 
SAFI SANA TRUMP ACHA KIZAZI CHA KIGAIDI KIONESHWE YESU NI JIBU HASWA
 
Wakiristo wa Tanzania huwa wana matatizo sana yan wao kila kitu kwa uislamu ni chukizo kwao hapo tayar washaona hiyo Israel na Iran ni vita ya kidini .

Hao wanaangalia Iran kajeruhiwa wapi ili apate kuandika
Hawa wenzetu akili zao sijui wanaweka tako gani
 
Tatizo ubishi mwingi juzi Hezbollah na Israel wamezipiga mpaka Hezbollah ameweka silaha chini na pia MAREKAN iliipendea Israel moyo wake mgumu wa mapambano bila kuchoka kuanzia January to December wao yeyote anayeingilia wao wapo tiyari kwani ISRAEL haijawahi kuzunguka kwa vita na mataifa 6 lakini aliyatandika ndani ya siku 7 kabla ya sabato na wakatulia na tangia siku hiyo Us iliipenda sana ISRAEL
 
Kwahiyo ww nikuulize ww kwako ukristo sio tatizo Tena ninyi kutwa kuusema ukristo na kuwaona wenzenu sio kitu
 
Iran ina namba kubwa ya hayao makombora n.k, issue imeonekana kuwa quantity si kigezo, ila quality na inteligensia ni muhimu zaidi, ka-ISRAEL ni nchi ka kadogo (1.3% ya Land mass ya IRAN) lakini kapo superior ki-teknolojia intelijensia zaidi, ndyo inayowapa ushindi mpaka sasa

View: https://www.tiktok.com/@middleeasteye/video/7515482663336103190?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Tatizo lako umekula Maharage ya jana!!!!

Israel kwa sasa hivi inadhibiti anga lote la Tehran leo wewe unakuja kuwadanganya Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa israel imelemewa acha ujinga
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe mwenyewe umepuyanga kwenye hiyo vita Iran alisaidiwa na wengi wakiwemo Israel wenyewe japo Kwa siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…