SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hata huo uwezo wa makombora Hana kiviiile! Unarushaje makombora ovyo namna Ile hupigi target za maana! Unavunja majengo ya raia stupidi
 
Wewe acha ujinga wako sasa unatuletea lugha hiyo bila kutuletea tafsiri unafikiri wote humu ni Wafuga Midevu na Majini?
Mzee kama unashindwa kuchangia acha, tutolee us3nge wako kila muda midevu na majini, midevu na majini...

Kama huna hoja za kuchangia humu kula kona, jf ni pana, unaharibu uzi na upuuzi wako wa kifala kila hoja unapigwa unaipeleka kidini..

Hi vita si ya kidini, huko twitter wamarekani wengi tu tena wazungu wanaiunga mkono Iran, na wao ni wa dini? mbona huyu jamaa ni mzungu na anaiponda Israel na kuisifu Iran..


Unaharibu uzi na ukiendelea tutajiunga humu tuku report kwa pamoja ulambwe ban na mods usirudi tena kwenye huu uzi ukafungue wa kwako huko...

Hapa tunataka hoja kwa hoja, updates... ukishindwa kuwa msomaji sio lazima uchangie..
 
Baada ya kuona kipigo kimezidi sasa mnaona bora muanze kutafuta visingizio Uchwara!! Mwanzoni mlikuwa mnabwabwaja sana na kutamba kuwa Israel haiwezi kuishambulia. Sasa ameshambuliwa mnaanza kutafuta visingizio. Kama suala la kusaidiwa Iran anaisaidia Russia huko Ukraine mwambie naye amsaidie kupambana na Israel.

Kwa taarifa yako tu anga lote la Tehran liko chini ya majeshi ya Israel na leo huko Tehran walikuwa wanaaga mizoga ya makamanda waliouwawa kizembe na majeshi ya Israel siku ya Ijumaa
 

Attachments

  • IRGC General Staff - Packed..mp4
    658 KB
Mpotezee huyo mzee!
Sio kosa lake.
 
Ndugu zangu ULAYA wamenusa uwezo wa MAKOMBORA YA Iran wamegundua Wairan wapo Mbali sana kitechnology !!!

ndio mana wote wameacha Kimbelembele chao Waswahili usema Sumu aiyonjwi kila Mmoja abebe mzigo wake..,
Huwajui ulaya ww vzr muulize mrusi
 
Apoteze mara mbili?? Yeye alipoteza siku ya kwanza ya vita walipokuwa makamanda wake wakuu 30+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…