SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

😂😂😂😂😂 Kama THAAD imeshindwa hiyo Barak Magen itafanya nini mkuu??
We subiri uone mtanange baadae hapo watazikataa hizo Magen zao.
Sahihi hii kauli napenda kuirudia..

Hakuna air defense itazuia usipigwe,

Njia bora kabisa ya kujilinda dhidi ya ballistic missile attack ni kuwa na diplomacy nzuri hasa kuhusu mizozo kama hii...
 
🤣 🤣 Huyo binti kwenye tv alikuwa anasema haya haya
 
Na jana mtambo wa Arrow na ule wa David Sling mtu kakosea na mitambo ikadunguana yenyewe kwa yenyewe huku Balistic likipita kuelekea target.

Hata leo kulipuliwa mtambo wa televisheni kuna taarifa kuwa IDF imekosea mahesabu target ilikuwa sehemu ingine.
 
Acha uzushi basi jamaa

Mbona mpaka Isarel wametoa matangazo watu wa jirani na eneo ilipo tv (mouthpiece) wahame. Halafu unatudanganya wamekosea kupiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…