SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kalambishwa mchanga major general kikosi cha anga Israel..
View attachment 3371704
Nilishasema wewe ni muongo na Mpotoshaji mkubwa huyu yuko hai hata leo alikuwa akiongoza kichapo kwenye Shirika la uta gazami la Iran endelea tu kuwadanganya wajinga na wapumbavu kama wewe!!
 

Attachments

  • IMG_3314.jpeg
    132.7 KB · Views: 14
  • IMG_3313.jpeg
    140 KB · Views: 20
  • IMG_3312.jpeg
    134.5 KB · Views: 18
Hiyo inaitwa high tech collaboration, mbona Russia imesita kumsaidia Ayatollah?
 
IDF wanatawala anga ya Iran as tourists, wanachagua target ya kuharibu kwa utuvu kabisa
 
Hamna kitu hizo propaganda tu. Eti Israel itawale anga la Iran. My foot..mfyuuuuu
Acha kukomaza fuvu lako anga la Iran linadhibitiwa na majeshi ya anga ya Israel.
Najua kabisa wewe ulikuwa huku Ali kuwa israel inaweza kumpiga Iran sasa imetimia ndiyo maana una makasiriko mengi sana!!

Na jioni hii kituo cha matangazo ya Tv cha serikali ya Iran kimepigwa wakati mtangazaji alipokuwa akitangaza upuuzi wake baada kuona amepigwa ilibidi atimue mbio.

Nakuwekea video Najua unaumia sana lakini vumilia tu hata 100 others naye huwa anaumia sana kuona post zangu!!
 

Attachments

  • IMG_0670.mp4
    2.6 MB
  • IMG_1668.mp4
    3.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…