SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Anga la mama 😊
Kuna vitu vingine uwa Netanyau anaongea mpaka unashangaa,yani ni uwongo wa kiwango cha rami. Walishindwa kufunga Anga la Syria wakawa wanarusha makombora kutokea mpakani, kipindi icho Syria alikuwa na S-200 missile ambazo ni old, leo hii wafunge Anga la Iran kwa vita ya izi siku Mbili🤣🤣🤣
 
Sasa itakuweje??

Ukubwa wa nchi yangu Iran ndio uko wapi sasa??

Inakera, kwa hiyo Wazayuni watutawale sasa?
 
Inawezekana kabisa kalizuia maana kinachotupatia hofu ni ile zero response ya Iran kwenye masuala ya anga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…