SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Uzuri Israel hailalamiki kama hawa pro Iran...inaasses na kutoa taarifa lakini upande wa pili sasa milio mingi sana...
Tuache kuchagua upande tuache neutral ground watu wanyukane halafu mwishoni wakishatiana akili tutajua nani mwamba!
 
Uko dunia ya wapi wewe? Usilete habari za msikitini hapa. Dunia nzima inatangaza kinachoendelea huko wewe unaleta ujinga hapa.
 
Sasa itakuweje??

Ukubwa wa nchi yangu Iran ndio uko wapi sasa??

Inakera, kwa hiyo Wazayuni watutawale sasa?
Kwa kweli Iran kadhalilisha sana makobaaz mabusha wao kutwa waisifia hapa jukwaani kumbe Iran wenyewe weupe kiasi hiki yaani nchi inapondwa pondwa mpaka TV ya taifa nayo inapoondwa ahh fedhea gani hii sasa, Iran ikiaminika hakuna hata jiwe la myahudi lingetua pale, leo hii anga la Tehran limekuwa mali ya myahudi anafanya anachotaka ah russia tusaidie baba myahudi anatuua, mchina tusaidie baba myahudi mbona kajua kutuvua nguo
 
Bunker ni handaki
 
Hii ni zuga waamerika wapo kazini wapo active zaidi ya wwaisrael wenyewe kwenye hii vita
Habari yenyewe imeandikwa na Terrorist Sympathizer Sulaymaniyah Ahmed huyu hakuna asiyemjua ni mpiga Propaganda za kijinga dhidi ya Israel wewe ndiyo unaileta hapa kama habari!!! Acha ujinga!!
 
m
mimi binafsi sijategemea kama Iran angepigwa kirahisi hivi maana tuliaminishwa kwamba irani huwezi kurusha hata kijiko kikapita, ila sasa hivi anapigwa kila sehem dah aibu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…