Mpaka jioni hii Israel ni mshindi dhidi ya Iran maana anga lote la Iran analimiliki hakuna cha ndege vita za Iran wala mifumo ya ulinzi wa anga!!!Uzuri Israel hailalamiki kama hawa pro Iran...inaasses na kutoa taarifa lakini upande wa pili sasa milio mingi sana...
Tuache kuchagua upande tuache neutral ground watu wanyukane halafu mwishoni wakishatiana akili tutajua nani mwamba!
Sasa hivi wanatafutwa, kuna msako mkali safisha safisha..Naamini atakuwa anasaidia , lakini pia Yale mapandikizi ya mossad yaliyopo Iran nafikiri yanawapa ugumu washirika wa Iran kuingia mazima mazima kumpa support.
Si wanasema anga limetawaliwa na Israel?
Wishful thinking!Si wanasema anga limetawaliwa na Israel?
Poleni sana anga la Iran bado sana kulicontrol kuna F35 imeisha angushwa huko na Pilot katiwa mikononi.Acha kukomaza fuvu lako anga la Iran linadhibitiwa na majeshi ya anga ya Israel.
Najua kabisa wewe ulikuwa huku Ali kuwa israel inaweza kumpiga Iran sasa imetimia ndiyo maana una makasiriko mengi sana!!
Na jioni hii kituo cha matangazo ya Tv cha serikali ya Iran kimepigwa wakati mtangazaji alipokuwa akitangaza upuuzi wake baada kuona amepigwa ilibidi atimue mbio.
Nakuwekea video Najua unaumia sana lakini vumilia tu hata 100 others naye huwa anaumia sana kuona post zangu!!
Je, umewahi, kusikia habari za Natenyahu za hivi karibuni?SUPREME LEADER KHAMENEI YUKO WAPI?
Kwa sasa, taarifa zinazoaminika zinaonyesha kuwa Ayatollah Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran, yuko katika bunker (Ni handaki kubwa lenye ulinzi mkali) chini ya ardhi eneo la Lavizan, kaskazini-mashariki mwa Tehran – pamoja na familia yake – kutokana na vitisho vya mashambulizi ya hivi karibuni kutoka Israel. Bunker ni eneo maalum kwa viongozi wakuu wa irani kujifucha kipindi cha hali ya hatari
M
Mpaka jioni hii Israel ni mshindi dhidi ya Iran maana anga lote la Iran analimiliki hakuna cha ndege vita za Iran wala mifumo ya ulinzi wa anga!!!
Imerudi hewani kitambo sana..Duuh state TV nayo imekula kombora
Safi..
Unaweza sema hapa ni Somalia.kumbe ni Israel.shikamoo IranInawezekana kabisa kalizuia maana kinachotupatia hofu ni ile zero response ya Iran kwenye masuala ya anga
Netanyahu mbona anaomba msaada, atulie kwanza wamnyoe..JUST IN: 🇮🇱🇺🇸 Israeli Prime Minister Netanyahu warns Americans of incoming attack.
"Today, it's Tel Aviv. Tomorrow, it's New York."
View: https://twitter.com/BRICSinfo/status/1934666469972861163
Mwarabu na vita wapi na wapiIran nae muhuni tu, kelele nyingi tu kumbe hakuna kitu
Netanyau yupo mara nyingi tu anaonekana akitoa hotuba zake habari zake zipo tu mbona? Wairan wanalalama UN iingilie kati kuistopisha Israel maana inachofanya Iran sasa ni genocide.Umewahi kusikia habari za Natenyahu za hivi karibuni? Wakati mwingine tujifunze kubakiza hakiba za maneno. Juzi juzi hapa alikuwa anamuomba Trump amsadie kuwadhiti Wairan just in case -sasa kama anajiamini kivile ya nini tena kukimbilia Kia Trump kuomba msaada wa jeshi la Merikani itumie ndege kubwa a kubeba mabom makubwa kubwa yaani bunker busters ya kulipua mahandaki ambayo yana kina cha mita 70 chini ya aridhi, Trump kamkatalia - kwanza hakutaka kujiingiza kwenye vita Iran, pili Amerika hawana mabombu kupenyeza zaidi ya mita 50 chini ya ARIDHI-Nawambieni majivuno no kieleele change Waziri Mkuu Natenyau atalingiza kwenye matatizo makubwa taifa LA Israel, Iran siyo Hezibolla,Hamasi au Palestina - Israel itakuja kuabika kweli kweli,labda aombe msaada wa kijeshi kutoka Merikani.
Kobazi wanapigwa ile mbaya
Sawa tumekulelewa mkuu lkn tujibu ww umeelewa vipi kuusu kudhibiti Anga ndio kushinda Vita !!!!Kilichobakia Kwa Sasa ni kunisalimisha Kwa Majeshi ya Iran
View: https://www.instagram.com/p/DK90aqCqJ2k/?igsh=MWtrZmNlOTZkcXU0bQ==
Next time nao wafanye ambush ya Nguvu Kwa kutumia ndege, makombora na drones vinginevyo mwisho umefika.
Sasa ngoja walipe kisasi utaona balaa lao.Naangalia Aljazeera muda huu, wako live. Miji ya Haifa na Tel aviv iko salama. Vikombora 10 vilivyorushwa jioni hii vimefia njiani.
Hakika Israel ni kibokooo.