SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Channel 13 Israel Kwa sasa USA yeye anajali zaidi kuwahifadhi wanajeshi wake basi. US ananza kumkimbia Israel taratibu hataki kuingia vita na Iran direct. Israel walitegemea US ataingia direct vita na Iran, sijui walipiga embassy ya US wakasingizia Iran kapiga hahaha Us atabaki kuwasaidia tu kuangusha Missiles kaona muziki wcIran si mchezo hakuna Air defense zake imezuia.
 
🚨🚨🚨Iranian Air Defense Forces have destroyed another F-35 fighter plane in the skies over Tabriz in the northwest of the country, reports the Tasnim news agency🚨🚨🚨.

Izi F-35 ni kwa nchi kama uganda ila sio Iran, zitaisha zote
 
Iran hakujiandaa kivita dhidi ya Israel? Embu kuwa serious basi.
 
Hata Zelensky alikuwa anaomba misaada kwa style hiyo kuwa Urusi akimalizana na Ukraine kituo kitakachofuata ni Ulaya yote.

Hii mbinu Netanyahu kakopi kwake.
Netanyahu kwa hili naweza kukiri na kusema kwamba, hadi sasa Israel ina operate kwa nguvu zake zote na resources zake zote, anajikaza kuonyesha ana handle lakini hali si nzuri..

Hizo ni kelele za kuomba msaada...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…