Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Usimkatishe mwenzako tamaa.Hata kutambulika tu ni malipo.Nani akulipe wewe fanya kazi acha kujidanganya na hizo ngonjera
Yani unavyoongea inaonesha hakuna unachojua mzee.Russia vs Ukraine...
Hii vita ilikuwa ya kimkakati ili kumdhoofisha Russia asiweze kuingilia vita nyingine...
Hezbollah paa
Syria paa
Yemen paa
Iran kubaa
Hawa jamaa wapo mbali sana kifikra
Ukraine imekomboa mikoa mingapi hadi sasa??Unaleta PDF mkuu...uhalisia si unauona, ukraine tu kamtoa jasho
That is a different scenario. Russia is a loner against NATO. What did you expect bro?RUssia mpaka leo ameshindwa tawala anga la ukraine.
Malipo ya kutukana wenzie sio huoni kaita wenzie mashoga kwahiyo ndio asubiri malipoUsimkatishe mwenzako tamaa.Hata kutambulika tu ni malipo.
Huyo ni kobazi sugu anayekunywa mbege na supu ya masikio ya kitimoto.πMbona unaandika kama unakimbizwa na kombora we ni kobazi?
Hizo propaganda na inatakiwa utumie ubongo kufikiri bro.
Tangu Ijumaa Israel ilitangaza kutawala anga la Iran,matokeo yake Iran ikarusha drone na makombora kuelekea Israel.
Muda mwingine tumieni akili msiwe kama chujio maji yanapita tu
Vijiweni mnadanganyana sana...angalia kipigo anachopokea Iran uko achana na story za vijiweniYani unavyoongea inaonesha hakuna unachojua mzee.
Hizbollah ilipoanza kutumia long range missiles US na France official walienda Beirut kuishinikiza serikali ya Lebanon wawashurutishe Hizbollah wasaini makubaliano ya kusitishwa vita na kuweka silaha chini.
Hizbollah ikafanya hivyo.
Yemeni juzi walirusha makombora Israel kama haujui ndio kisa Cha Israel kuzidiwa zaidi kwenye kudungua makombora.
Syria hapo kutokea anguko la Assad ilikua lazima na alishashauriwa a step down muda sana.
Russia huko amebeba maeneo yote yenye utajiri Ukraine na sasa anaelekea Kyiv.
Wewe unasema kadhoofishwa.
Na Bado ana uwezo wa kutoa silaha popote pale.
China imetangaza raia wake waondoke upesi sana Israel.
Tarajia mambo kuwa magumu zaidi.
Wanazuia vyombo vya habari??Tunakosa update kwa sababu hii
Ndiyo uendelee kumchokoza zaidi hadi upate uhalisia wa uwezo wa akili ya mtu.Jitoe ufahamu ili ufaidike.Malipo ya kutukana wenzie sio huoni kaita wenzie mashoga kwahiyo ndio asubiri malipo
Wewe unaropoka vijiweni ilhali sisi tunachukua update za vyombo vya habari??Vijiweni mnadanganyana sana...angalia kipigo anachopokea Iran uko achana na story za vijiweni
Nimchokoze kwani Kuna kulipwa humu fanyeni kaziNdiyo uendelee kumchokoza zaidi hadi upate uhalisia wa uwezo wa akili ya mtu.Jitoe ufahamu ili ufaidike.
Yanayokuja kutokea sio mazuri hata kidogo.Wazimu umempanda raisi Trump wa Marekani baada ya kushuhudia miji ya Israel ikipigwa bila kizuizi.Raisi huyo amelazimika kukatika mkutano wa G7 na kurudi nyumbani kushughulika na vita,
Tamko la aina hiyo pia limetolewa na Korea kusini wakiwataka raia wa Iran waondoke bila kutaja mamilioni hayo ya watu waelekee wapi.Hayo bila shaka ni matamko ya mtu aliyechanganyikia baada ya kupokea kipigo.
Maamuzi hayo na matamko yamekuja baada ya Netanyahu jana kwenda kukagua maeneo yaliyoshambuliwa na Iran ndani ya Tel Aviv na kutosadiki alichokiona.
Wazimu umempanda raisi Trump wa Marekani baada ya kushuhudia miji ya Israel ikipigwa bila kizuizi.Raisi huyo amelazimika kukatika mkutano wa G7 na kurudi nyumbani kushughulika na vita,
Tamko la aina hiyo pia limetolewa na Korea kusini wakiwataka raia wa Iran waondoke bila kutaja mamilioni hayo ya watu waelekee wapi.Hayo bila shaka ni matamko ya mtu aliyechanganyikia baada ya kupokea kipigo.
Maamuzi hayo na matamko yamekuja baada ya Netanyahu jana kwenda kukagua maeneo yaliyoshambuliwa na Iran ndani ya Tel Aviv na kutosadiki alichokiona.
Siyo kila kitu ulipwe.Kwani shuleni ulilipwa nini zaidi ya kulambwa mboko na kukaririshwa "fo-figa"?Nimchokoze kwani Kuna kulipwa humu fanyeni kazi
Hamna mafuta na gas ilishapigwa na wasiojulikanaHawawezi kuja Tanzania kuidhibiti CCM?