SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hawa mazayuni n awazugu cinema zao wenyewe zimewajaza ujinga. Wanafikiri kumuua kiongozi ndiyo umemaliza tatizo.

Kila kiongozi kwa ujinga wao ni "kubwa la maadui". Kiuhalisia nje ya cinema ni tofauti kabisa.
 
Rais wa Iran Masoud alishasema tuna makombora ya kupiga miaka miwili na Kila siku yakaleta maumivu Kwa mpigwaji tusijidanganye Iran mzigo umekata na tukumbuke ameanza kujipanga muda mrefu tu anajua adui yake ni nani na wanfikiaje hawezi kuwa na grunade kwake maballistic lazima yawe mengi kuliko risasi za Ak
 
Utawala wa Iran ni sawa na Utawala wa CCM, unadhani Watanzania wapo tayari kufa kisa CCM?
 
Ndio mana ndege zao 2 za F-35 zimeangushwa na pilots wamekamatwa, Iran ndio nchi ya kwanza duniani kuangusha hizo nedege, moto ni mwingi mnoo
muajemi ,ali mpigia US li drone lake RQ-4A Global Hawk aliyo kua ana tamba kwamba ni stealth, akaja tena aka ishusha drone nyingine Lockheed Martin RQ-170 Sentinel kama yake vile
 
Bro usichanganye mambo Hezbollah hakushurutisha Tu Hezbollah alichakazwa mchana kweupeeee uongozi woote ulifyekwa

Kwa kifupi walinyoosha mikono juu mwendo wa mateka

Kwa tunavyo ijua Hezbollah baba yao Iran anatandwika angesha ingilia siku ile ile ya kwanza angelusha makombora kabla ata ya Iran alie pigwa.

Sasa hivi hawajatoa ata mikwara ya kuikalipia Israel
 
Kasemea wapi au wewe ndiye unasema!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…