SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

aaa wapi. Israel ndio imepigika mpaka Trump kaahirisha kikao cha G7 si mchezo
Bila misaada ya west Israel ni zero kabisa
Baada ya muda si mrefu naona watu humu mtaanza "Pray for Iran", maana hata Gaza ilikua hivi hivi, sasa hivi wapalestina hawaogi na wanakunywa maji ya kwenye ndoo na kulala kwenye ma tent. Halafu waarabu wenzao wako kimyaa wanaangalia mtanange maana wanajua huu muziki wa Israel ni mnene na uwa hawasikii kitu mpaka lengo lao wamelitimiza. Wayahudi wana msemo wao " If not now!!! When???Muda utaongea.
 
German Chancellor Friedrich Merz:

If Iran does not withdraw, the complete destruction of its nuclear program will be on the agenda, and this is something that Israel is unable to do alone.
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Mkuu, unamaanisha nini unapo sema anga?? Kwani roketi za Iran zinapitia aridhini au majini,mbona zina acheave almost same destructive power kama mabomu yanayo bebwa na fighter jets!!

Wairan wametumia busara sana kitumia missiles ambazo zina uwezo wa kulenga popote with pin point accuracy precision, huitaji pilot wala kuwa refilled while in mid flight, zenyewe ni kubeba pay loads tu, BASI.
 
The personal text message that may have sealed the fate of Iran!

Mr. President, God spared you in Butler, PA to be the most consequential President in a century—maybe ever.

The decisions on your shoulders I would not want to be made by anyone else. You have many voices speaking to you, Sir, but there is only ONE voice that matters—HIS voice.

I am your appointed servant in this land and am available for you, but I do not try to get in your presence often because I trust your instincts. No President in my lifetime has been in a position like yours. Not since Truman in 1945.

I don’t reach out to persuade you. Only to encourage you. I believe you will hear from heaven, and that voice is far more important than mine or ANYONE else’s.

You sent me to Israel to be your eyes, ears, and voice, and to make sure our flag flies above our embassy. My job is to be the last one to leave.

I will not abandon this post. Our flag will NOT come down.

You did not seek this moment.
This moment sought YOU.

It is my honor to serve you.
—Mike Huckabee]

—Mike Huckabee
 
Makombora yote yamethibitiwa hakuna hata moja limefika nchi ya ahadi
#PrayForIran
Iran kabla ya kurusha makombora wanapaswa kwanza kuondoa na kumaliza mamluki wote walio kwenye majeshi yao. Leo Israel ilikua inapiga sites za missiles launchers, haya hayawezekani bila kushirikiana na mamluki. Tunaita/wanaita intelijensia, lakini ukweli ni kuwa Iran kuna mamluki wengi wanaofanya kazi na Israel.
 
Huyu ndio babaake alitawala Iran kwa muda mrefu sana na alikua swahiba wa US na Israel, Shah wa Iran - Mohamed Reza Pahlavi, naona wanataka kumpa utawala dogo wakishawaondoa akina ayatollah. Ngoma bado mbichi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…