SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Usije shangaa pampaz anazotumia ayatollah zimetoka Israel, usijeshangaa wanaomvua na kumvalisha pampaz ayatollah ni wayahudi, usijekuta mke/wake wa ayatollah wayahudi
 
Sawa tumekusikia mtoto wa netanyau
 
Asante sana kwa kuwaambia ukweli
 
Hapo ndo utajua umuhimu wakubwa na uwezo wa juu wa kivita wa Anga...
Vita hivi vinaonesha kuwa hakuna wakumuweza Muisrael kwa vita vya anga, si Iran wala nani mpaka Russia atakalishwa...

Nimemaliza, povu ruksa
Wakimaliza povu waharishe pia😂
 
tuwe tunaongea facts hata kidogo yaani netanyahu kila siku anatoa taarifa hata kwa kupost na kutembelea maafa ila Ayatoulah hata simu hagusi maana akigusa tu ni kwaheri mashehe ubwabwa wanasoma dua
Ayatollah anakumbuka jinsi simu ilivyomponza Osama Bin Laden, alikuwa ni keyboard worrier mfichoni Kandahar, walimlocate kierahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…