SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Inshort kwenye mataifa ya pale mashariki ya kati ukiondoa wale anaoshirikiana nao Iran kila siku kufanya ugaidi hana msaada mwingine iwe quatar, saudia, uae na wengine
Usichokijua hivyo vikundi vinapewa pesa na Qatar.
Iran yeye ni msimamizi hususan kijeshi.
Huyo Qatar muone hivyo hivyo.
 
Confirmed na nani!?
 
Nisikudanganye how? Israel ilitusha ndege bila malengo?
Urushe ndege 100 tu bila kuwa na target na taarifa za muda mrefu? Comeon. Bro
 
Noth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia

Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa

Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
 
Bhabheja sana
 
Trump anakuja kufanya finishing touches
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi ndiyo hadithi ambazo huwalenga wasio na akili.
 
Ila na haya yanayo endelea Ayatollah amechangia kwa kiasi kikubwa maana washauri wake wamemshauri sana kuwa ili Iran ijihakikishie usalama inatakiwa kuwa na silaha za nyuklia yeye akawa ana kataa anasema eti dini hairuhusu.
Kiukweli kwa muda wote ambao Iran ilikuwa ina operate hivyo vinu chini ya milima, waneshatengeneza bombs kama zote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…