City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Amemgomea Allah kwenda kuwa Bikra huko peponi 😂Mtangazaji alitoka mbio ..hatari
Hii ndiyo shida yenu mna visingizio lukuki!!! Kwa taarifa yenu tu Ayatollah lazima apige magoti tuMkuu usitudanganye bana.
Israel siku ya kwanza ilirusha ndege 100+ kwa mpigo.
Pia usitudanganye kuwa Iran haifanikiwi kimalengo ikiishambulia?
-Nevatim airbase imelipuliwajwe?
-Makao makuu ya Mosad yamelipuliwajwe?
-Ofisi za jeshi zimelipuliwajwe?
-Bandari ya Haifa imelipuliwa vipi?
-Haifa refinery oil plant imelipuliwa vipi!?
Tena hapo Iran anaposhambulia zinahusika nchi zaidi ya nne kuzuia hayo mashambulizi.
Mtaongea sana ila Iran ni nchi ilojitahidi sana kwenye huu mzozo.
Hizo stori zingine msitudangaye hatudanganyiki.
Haiwezekani hapo unaongelea Third world warNoth Korea , urusi. Uturuki na Pakistan wamemmwambia Sema chochote unachotaka katika hi vita tupo tayari kukusaidia
Irani amesema huyu Israel kama atakuwa peke yake Mimi Wala hanisumbui atachapika kisawa sawa
Masikini Netanyau amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita ameshindwa kujifunza Kwa Zelensk
Sasa ni dhahiri hakuna kificho tena, marekani na Israel dhidi ya Iran!.
Back again, wait for the update
Yahudi anaweza kupiga na mataifa 10 ya kiislam na yote akatembeza dudu kwa wakati mmoja maana hiyo historia anayo na anatamba nayo Israel alipigana na mataifa sita (Syria. Lebanon, Egypt, Morocco, Jordan na Gaz) aliwachapa simultaneously kwa wiki moja tu "Six Day War"
InawezekanaKwa hiyo wewe ni Myahudi?
Israel imefanikiwa kuharibu air defence ya Iran
View: https://x.com/Osint613/status/1935245810389619011?t=leuOcQYSZc4qskbY08nbhA&s=19
Iran hakuweza kufanikiwa kutengeneza silaha za Nuclear kamdomo ndiyo kamemponza!!!!Kiukweli kwa muda wote ambao Iran ilikuwa ina operate hivyo vinu chini ya milima, waneshatengeneza bombs kama zote..
Dogo tulia hizo mbaga yahudi mtaalam wa hizi kazi hajaanza leo mataifa ya kiislam kalibu yote yanajua Dudu la yahadi hahahahaMadhala ya kukaririshwa matango poli. Kwanini sasa analialia kutaka marekani na NATO waingie kumsaidia?