Haya wanayo kama mil 200 sio ya kuisha leo ni mengio mnooo waliyatengeneza!!Israel wanadai kwa sasa Iran wamebakisa na makombora 1800 kwenye akiba yao
View: https://x.com/Osint613/status/1935027530206986562?t=ElZdj9q_HWhrq3xuhYZDVA&s=19
Huyu Ndio CHAUMWA WAO?? sasa unajiita King takataka kabisa shenzi njoo Tehran basi,Breaking News:
Mfalme aliyepinduliwa Reza Pahlavi anaongea muda huu anasema utawala wa sasa umeanguka, wapo defectors ndani ya jeshi wamemtafuta kuongea nae. Anaahidi atakua na wananchi wa Iran muda si mrefu
Video chini
View: https://x.com/NiohBerg/status/1935027868108722458?t=i6vkHtnp194Ntb59p7BDyg&s=19
Kwani US anapitisha wapi?Watampa KWA kupitishia wapi
HUYO NDYO MWENYE NCHI, na atasimikwa rasmi, wananchi wataka kurudishwa utawala wa mfalme wao,Huyu Ndio CHAUMWA WAO?? sasa unajiita King takataka kabisa shenzi njoo Tehran basi,