SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Alichosema Ayatollah Khamenei mchana kinaenda tofauti na kinachofanya serikali kwa sasa.
Serikali ya Iran imeamua yawepo mazungumzo kuhusu mpango wao wa nuclear.
Its too late,kipigo cha leo kimeimaliza kabisa Iran sidhani kama hiyo usiku wataweza kurusha kombora hata moja. Pia Netanyahu hatakubali sababu hii ndio opportunity iliyobaki.
 
Iran wakikupiga mikwara unaweza ukafa.

Yaani ni kama Mandonga, Jana walisema pigo watakapofanya usiku Dunia haitasahau miaka 100😂😂😂
Jana serikali ya Iran ilisema itafanya shambulio israel ambalo litabaki historian kwa vizazi na vizazi, lakini haikua hivyo

But mimi napenda waendelee kutwangana, hivyo bado naamini Iran atafanya comeback kubwa. Sitaki kuamini Iran atakubali unyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…