SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Sijaelewa maelezo yako
Kwa lugha rahisi fikiria kama kuna internet ya Taifa na internet ya kimataifa, wakifungua internet ya kimataifa ile ya Taifa bado inapiga kazi, unaingia internet kama kawaida ila una access tu server ambazo zipo ndani ya Iran.

Hii inasaidia wao wenyewe jeshi kuweza kuwasiliana ila wale wanaowasiliana na watu nje ya Iran hawawezi, unless wawe na internet nyengine ambazo zinatumia satelite.
 
Ila kwa Israel raia wengi aisee wamechoka na vita na hawampendi netanyahu.
Tukio la Oktoba 7 ni shahidi.
 
Missiles mbili kutoka missile 300,na hazijaleta madhara yeyote
 
Ndio naanza kumuelewa huyu babu kumbe ule urushaji wa makombora 300 ni usafishaji wa ghala ni makombora ya miaka mingi sasa kombora Moja target 80,hapo Israel arudishe tu arhi ya wanyonge palestina wapate uhuru wao,mtetezi wa wanyonge kapatikana.
Na wewe unaamini kabisa kuwa kombora moja kubeba vichwa 80? Hii sio US,Russia wala China hawana. Haya limepigwa sasa limeleta madhara gani?
 
Wanataka wafie msalabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…