Hilo kombora wengine wanasema ni satellite killer...Imekua intercepted wapi? Leta source, ile uliyoweka mwanzo sio interception ilikua ndio inaruka, kuna video kabisa zinaonesha ikiruka.
Kombora limeenda juu zaidi, taarifa zilizopo linasakwa, halijulikani linaenda wapi ama linaenda kupiga nini,
Chanzo mossad.. kwani si walisema ameuwawa au alifufuka kauwawa tena.. na vipi kule tel Aviv wamefungulia internet au ?Breaking News:
Kuna taarifa kuwa mkuu wa majeshi mpya wa Iran ameuwawa ni baada ya kusurvive assassination attempt Leo lakini baadae akaweza kuuliwa.
View: https://x.com/MOSSADil/status/1935404877133516932?t=ocLkzKS-KQHlubbiV3kA2w&s=19
Hebu edit hapa mkuuinauwezo wa kwenda 300km chini
mkuu upo serious ama?Kaka hiyo ballistic imeenda nje ya dunia. Okirudi itakuwa na force kubwa mno. Hakuna cha THAAD wala nini. Inakuja kuiangamiza Israel. Na imeelekezwa kwenye mahandaki ya wayahudi. Ikishuka inauwezo wa kwenda 300km chini.
Tuombe uzima tu Netanyahu asiwepo eneo la tukio
Palestine!Kuna wakati ukiwa na stress na unahitaji kucheka inapiga uje kwenye huu uzi wa Israeli Vs Palestine.
Palestine!
Usifananishe Oreshnik na huo ushuzi pia Oreshnik sio ICBM ni just intermediate range hypersonic missiles ila shughuli yake ni zaidi ya kigodoroJUST IN: Reports Iranian missile entered Earth's outer atmosphere with characteristics similar to intercontinental ballistic missiles This missile closely resembles the Russian Oreshnik missile.
Hakika mama kakuza uchumi Lucas MwashambwaSi unajua uchumi wetu upo juu?, wao wamebakia kupigana pigana tu.
Kaka niamini mimi.mkuu upo serious ama?