mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Ile kitu mpaka leo west wanajiuliza sana awapati majibu.Usifananishe Oreshnik na huo ushuzi pia Oreshnik sio ICBM ni just intermediate range hypersonic missiles ila shughuli yake ni zaidi ya kigodoro
Kaka USA kwa sasa anapumulia mipira kila nchi inajua hilo. Hawezi kufanya kosa alilolifanya Afghanstan tena. USA apigane vita vya Israel na Iran kwa faida ya nani?Mkuu tusubiri, yote kwangu heri iwe Iran au Israel
Naomba link nicheck mkuu, mm hufatilia habari kila sehemu. Naomba link nijue ukweli kilichopo usiku huko IranKinachoendele Iran muda huu ni hiki...
Mkuu nadhani hujaelewa hii habari, hizo chants sio kwamba mji mzima umelipuka bali ni za raia ambao wapo tu eneo fulani na probably sio mamia wala maelfuHawa Mossad hawa sio watu wa kuwaamini propaganda nyingi sana.
Sawa mkuu, lakini nakushauri kwenye mambo mengi usiweke neno haiwezekani maana kuna mambo yalionekana yasingewezekana lakini hatimaye yalifanyikaKaka USA kwa sasa anapumulia mipira kila nchi inajua hilo. Hawezi kufanya kosa alilolifanya Afghanstan tena. USA apigane vita vya Israel na Iran kwa faida ya nani?
When a country hesitates between military action and diplomatic pressure, it often signals internal divisions at the top, for example; the Pentagon may push for a strong response while the White House fears political or economic fallout.Huyu Trump kadata aisee.
Mara aseme hivi mara aseme vile.
Hii inaonesha kuwa upande wa Israel kumezidiwa.
USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.Sawa mkuu, lakini nakushauri kwenye mambo mengi usiweke neno haiwezekani maana kuna mambo yalionekana yasingewezekana lakini hatimaye yalifanyika
Wiki chache nyuma ungeambiwa Israel itaishambulia Iran basi naamini ungeweza kukataa kuwa haiwezekani. Tuwe na subra, siku vhavt tu tutajua
You said the truth,and to this situation Israel it can find it self been cornered.When a country hesitates between military action and diplomatic pressure, it often signals internal divisions at the top, for example; the Pentagon may push for a strong response while the White House fears political or economic fallout.
Trump’s “maybe I will” remark reflects a political strategy to avoid direct accountability, leaving room to shift his stance depending on how events unfold. At the same time, there’s growing pressure from the American public, many of whom are weary of prolonged wars like those in Iraq and Afghanistan.
Altogether, this shows that the U.S. is not fully committed to direct involvement and is instead waiting for a clearer direction. As a result, Israel may find itself fighting alone unless the U.S. position shifts soon.
South Korea ameanza kuwa upande wa Russia kivipi mkuu?USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.
Huku Pakistan na India. Ulaya nao wanamdindia. Akitaka kupigana vita vyote hivyo nchi yake itarudi nyuma sana kiuchumi.
Kaka akiingia vita ya Israel na Iran taya atakuwa ameingia mtego wa China. China itamuacha mbali sana ndani ya mwaka mmoja na USA itakuwa HIstoria.
Mosi, ulisema haturushi tena missiles,tumerushaMissiles mbili kutoka missile 300,na hazijaleta madhara yeyote
Kaka anza na hii kwanza kabla sijakupa hiyoSouth Korea ameanza kuwa upande wa Russia kivipi mkuu?
well said mkuu..USA inashadadia ili kuhamisha mada ndani ya nchi yake. Trump kabugi mambo mengi sana. Issue ya Tariff na issue ya immigrant, huko LA mambo yamemwendea kombo. Alisema ndani ya wiki moja atamaliza mgogoro wa Ukraine na Urusi. Mambo ni mengi sana kaka. Huku china, kule Russia, huku G7 upande mwingine South Korea ameanza kuwa upande wa Russia.
Huku Pakistan na India. Ulaya nao wanamdindia. Akitaka kupigana vita vyote hivyo nchi yake itarudi nyuma sana kiuchumi.
Kaka akiingia vita ya Israel na Iran taya atakuwa ameingia mtego wa China. China itamuacha mbali sana ndani ya mwaka mmoja na USA itakuwa HIstoria.
Duh!Kaka anza na hii kwanza kabla sijakupa hiyo
South Korea's new president vows to restart talks with North Korea
Lee Jae-myung, whose government inherits economic challenges and a politically fragmented society, began his term early on Wednesday after winning a snap election.www.euronews.com