Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kwa hiyo kila alieko Vatican/Italy ni Mkatoliki/Mkristo? Nchi za Kislam na kiarabu mbona zina Mabalozi wao hapa VaticanUnakula githeri machakos unadai uko vatican city,kama siyo religion fanaticism ni nini!?..kitu ambacho umenyooshea wengine kidole, pathetic
Kujilinda ni bora zaidi, kwenye vita huwa hautakiwi kuunderestimate uwezo wa adui yako.Anaondoa za nini, mbona Israel wana intercept missiles zote, aziache wana ADs bora sana US..
Ndio maana Israel imetoa tangazo watu wasilale TehranMsilale. Kuna movement ambazo hazieleweki eleweki. May be kuna kitu kikubwa leo
Kivipi fafanua..Msilale. Kuna movement ambazo hazieleweki eleweki. May be kuna kitu kikubwa leo
Kama ni hivyo US kupambana kwake hakutakuwa efficient.. labda atumie base za Israel.. lakini zinafikika..Kujilinda ni bora zaidi, kwenye vita huwa hautakiwi kuunderestimate uwezo wa adui yako.
Ni either Iran atashusha kitu kizito au Iran atashushiwa kitu kizitoKivipi fafanua..
Tutazikuta asubuhi, ngoja tulale tuote tunazagamuaMsilale. Kuna movement ambazo hazieleweki eleweki. May be kuna kitu kikubwa leo
Vyuma vinaondoka kiutamu sana yan, sasa ile report waliyotoa Israel kuwa wameharibu kiwanda cha makombora cha Iran ilikua ni vipi kweli au propaganda?Jeshi la Iran wametoa video usiku huu ikionyesha makombora yakiwa yanaruka kuelekea Israel..
View attachment 3375494
Ukisikia maisha ya kusadikika ndio aya unakuwa ww kama panya mana utaoiwi kucheza mbali na Shimo!!! Magonjwa ya mishtuko uko ndio nyumbaniWamerusha mawili, tayari yashakua intercepted na tangazo limetoka wananchi warudi mtaani
Kwa hiyo makombora yanatengenezwa kama chapati za nyumbani,ukitaka kula ndio unazipika?Vyuma vinaondoka kiutamu sana yan, sasa ile report waliyotoa Israel kuwa wameharibu kiwanda cha makombora cha Iran ilikua ni vipi kweli au propaganda?
Ndiyo yanatengenezwa kama vitumbua yakitaka kurushwa ndo yanatengenezwa au hujui na upo kwenye huu uzi?Kwa hiyo makombora yanatengenezwa kama chapati za nyumbani,ukitaka kula ndio unazipika?
Hiyo ni vita mkuu, hata raia wa Iran hupewa tangazo waondoke eneo fulani harakaUkisikia maisha ya kusadikika ndio aya unakuwa ww kama panya mana utaoiwi kucheza mbali na Shimo!!! Magonjwa ya mishtuko uko ndio nyumbani
Kwa nini wengi mnatumia sana neno propaganda??Vyuma vinaondoka kiutamu sana yan, sasa ile report waliyotoa Israel kuwa wameharibu kiwanda cha makombora cha Iran ilikua ni vipi kweli au propaganda?
Sio waisrael wote kuna clip Mdada wa Israel anaonekana Analia uku majumba yamebomoka pembeni yake jua Vifo vingi sana !!!Waisrael waliomba kusurrender kwa Iran? Hii si kweli
Lakini pia sio waisrael wote wanapenda kinachoendelea na sio wpte wanampenda Netanyahu
Hivyo hivyo kwa Iran pia, wapo wananchi wa Iran hata sasa wanataka Iran kusurrender kwa Israel.
Moral of the story ni kuwa lazima kuna wananchi wachche watakua wanataka jambo fulani, hivyo haihalalishi kuwa nchi nzima inataka hivyo
Wewe amini unavyoamini ili ufurahishe roho yako. By the way mbona mpaka sasa kimya,hamrushi?Sio waisrael wote kuna clip Mdada wa Israel anaonekana Analia uku majumba yamebomoka pembeni yake jua Vifo vingi sana !!!
sasa akiomba Government Wa Surrender ipo mkuu nitaifafuta nikuekee japo Israel inaficha sana ukubwa wa ili janga kwake !!!
Iran kafanikiwa kuigeuza miji ya Israel iwe km GAZA miji mingi ndiomana Waraabu wengi Mashariki ya kati wapo kwenye ngoma zao wapo na furahaa kubwa aijawai kuonekana kwenye nyuso zao...