Kuna vichomi walikuwa wanasema kila raia wa Israel na mwanajeshi au commando, inashangaza leo wamegeuka vibaka waporaji.Wameanza kuibiana Sasa
๐ฎ๐ทโก๏ธ๐ฎ๐ฑ Israeli TV channel reports thefts from Israeli homes after alarm sirens sound and people flee to shelters.
โ๏ธ@TheSimurgh313
๐๐๐Iran,isiwe issue tukumbuke pia kwenye mgogoro huu Iran hataki kupigana analazimishwa na unyonge wake umefika kikomo heshimu mipaka yako na Mimi niheshimu yangu,na Israel aheshimu mipaka ya wengine,
Kwa jinsi unavyomuhakikishia kama ulikuwepo vile,Kwa uzito wa warheads zilizootumika wallah hio hospital ingebaki majivu TU, nakuhakikishia hizo ni waves tu bro.
Sasa kwa nini unamlaumu Iran? fursa ndio imekuja sasa wacha Israel akomeshwe.. viherehere vyote ya taifa teule kwishney๐๐๐
Wabongo ni wapumbafu sana aisee
Irani kalazimishwa kupigana???
Huu ni ujinga wa mchambuzi wa Iran kutoka Zakiem,
Iran ilikuwa ikiwasubiri tu Israel wajichanganye ili Iwafute, na huu ni mpango wa siku nyingi tu, kwa hiyo, hii hatuwezi kisema Iran kalazimishwa ilihali yeye alikuwa kakosa fursa za kumfuta Israel duniani, na hii kwake ndiyo haswaa fursa ya kutimiza ndoto zake za miaka mingi
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKuna hospitali ilishambuliwa huko Iran?
Kituo cha television kilichopigwa na Israel ni military target? Mfumo wa majitaka uliopigwa na Israel ni military target? Je, hayo yanaipa ushindi Israel?hizo siyo military target,hazina any victory vaalue ni mashambulio ya kupanic, ISRAEL inaharibu military targets
View: https://www.youtube.com/shorts/L7iqLMf3FSw?t=2&feature=share
Iran ikamilishe mission zake, na muda ndio huu, siyo kusema inalazimishwa kupiganaSasa kwa nini unamlaumu Iran? fursa ndio imekuja sasa wacha Israel akomeshwe.. viherehere vyote ya taifa teule kwishney
Heri wabongo ni wapumbafu, wewe ni Mpumbavu๐๐๐
Wabongo ni wapumbafu sana aisee
Irani kalazimishwa kupigana???
Huu ni ujinga wa mchambuzi wa Iran kutoka Zakiem,
Iran ilikuwa ikiwasubiri tu Israel wajichanganye ili Iwafute, na huu ni mpango wa siku nyingi tu, kwa hiyo, hii hatuwezi kisema Iran kalazimishwa ilihali yeye alikuwa kakosa fursa za kumfuta Israel duniani, na hii kwake ndiyo haswaa fursa ya kutimiza ndoto zake za miaka mingi
Tupe na za israel mdau muende sawaKwenye huu uzi wa Iran wamejaa kujipa moyo utafikiri Israel inashindwa na Iran
๐ ๐ Hizi stori ni kama zile za kwamba Hezbollah ni tishio Israel hawawezi.Mzee nimekuwambia usome Vita vya Iran na Iraq wewe unakuja kutuletea mambo ya Bush.
Ukisoma utaelewa kiundania zaidi. Maana vita hivyo vilipiganwa miaka Minane huku USA alikuwa akimsaidia Iraq. Russia wakati ule USSR ailikuwa kimya. Iran alipigana pekee yake huku akisaidiwa na China chini kwa chini.
Huku USA na Europe zilikuwa upande wa Sadam Husein. Baada ya vita kuisha 1988, Iraq ilikuwa na madeni makubwa sana.
Ndipo Sadam akadanganywa kuivamia Kuwait 1990 (Gulf Wa), Ndipo Marekan na washirika wake wajipenyesha. Hiyo ni baada ya Iraq kuchoshwa ile mbaya na Iran.
30 Desemba 2006 Sadam Husein alinyongwa.
Hiyo ni Historia fupi kuhusu Iran.
Iran aliwahi kuwagonga USA, Europe na Arabic countries kwa pamoja huku akisaidiwa kwa mbali sana na China
Just Imagine kwa sasa Iran yupo na Support kutoka Russia. Itakuwaje?
USA hawezi tia timu huko, anaijua Iran vilivyo.
NB: Kumbuka kabla ya mapinduzi matukufu ya Iran, Iran ilikuwa mshirika wa USA
Hali ni mbaya sana hapo ๐๐๐Wazee wa six days war, watoto wa Yakobo, wazee wa operation Entebbe.. wamekutana na waajemi waliovurugwa..
Tel Aviv inazidi kupendeza, US asipoingilia kati, Israel itatishia kutumia nuclear..
Unamaanisha USA hawezi kumpiga Iran auNa hiyo vita ya Afghanistan lengo ni kumuweka mtu kati Iran. West walitaka waichukue Iraq halafu East waichukue Afghanistan ili wamuweka katikati Iran. Kumbuka huko Iraq na Afghanistan walikuwa wanapigana na Iran
View attachment 3375715
Walishindwa kumchapa Iran wakiwa karibu, sasa hivi wanataka wampige kutokea Israel. Kwikwikwikwi hivi ni vichekesho
Kwani Iran ameshawashinda Israel kwa sababu tu ya kupiga hayo majengo ya umma?Israel inaweza kupigana na Hamas wasio na silaha, wasio na ndege vita hata moja na wasio na chakula.. hao ndio saizi yao ila sio Iran. Aibu kubwa hii kwa taifa teule
Yule si anaungwa mkono na wengi mkuu ๐ ๐ Russia apigani peke yake paleTatizo si hasara, taifa kongwe kupigana na nchi ndogo kwa miaka mingi, hilo ni tatizo.