City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Samahani, hili swali mbona kama la kipuuzi? Unafuatilia taarifa sawasawa?Mpaka sasa yameleta athari gani kwa Israel?
Hasira zote za nini sasa?Kaka nenda kaangalie movie za akina Tom Cruise (Edge of Tomorrow) ndio saizi yako. Kwangu wewe ni mchekea. Ni bora ukajitambua nafasi yako, au ufunge domo lako chafu uweze kuchimba madini bure hapa.
Na hiyo vita ya Afghanistan lengo ni kumuweka mtu kati Iran. West walitaka waichukue Iraq halafu East waichukue Afghanistan ili wamuweka katikati Iran. Kumbuka huko Iraq na Afghanistan walikuwa wanapigana na Iran
View attachment 3375715
Walishindwa kumchapa Iran wakiwa karibu, sasa hivi wanataka wampige kutokea Israel. Kwikwikwikwi hivi ni vichekesho
Acha kujitoa akili Broh!Ugumu wake unatokea wali?
Israel anazurura angani kwa Iran apendavyo sasa ugumu uko wapi?
Ni ngumu sababu Iran anarusha makombora na kupiga majengo huko Israel?
Subiri uone mchezo watu wana mahesabu ya mbali ndugu
Yale hayapigwi na ndege yale anapiga kwa launchers zilizopo ardhini mbona wabongo mnataka kujifanya wauaji na huku hamjuiBado swali fikirishi hii anga ili chini ya Israel ni ipi na haya makombora yanapigwa Israel yanatokea kwenye anga ipi🤔
Kwa hiyo anga haijadhibitiwa au luncher zinapiga ardhini?Yale hayapigwi na ndege yale anapiga kwa launchers zilizopo ardhini mbona wabongo mnataka kujifanya wauaji na huku hamjui
Kaka usitake tuanze kujibishana humu. Mimi sina muda wa kukujibu, mimi naweka taarifa na namna Wayahudi wanavyo uawa. Shida yangu ipo wapi kaka? Au unatafuta dume linalopanda? Bahati mbaya hizo siyo tabia zangu mimi kaka yangu.Hasira zote za nini sasa?
Kulikuwa na kelele humu eti Hezbollah siyo Hamas Israel hawezi kutia mguu! Ona sasa Hezbollah wako wapi wamsaidie baba yao Iran?
Israel imeliteka anga lote la Iran liko mikononi mwake alafu wewe unapiga porojo hapa wakati mwenye nchi mwenyewe Ayatollah tuko shimoni muda huu?
Wahurumieni wa Iran kidogo siyo mnakenua mimeno huku mmebimbirwa makande huko namtumbo
Huelewi nini sasa?Bado swali fikirishi hii anga ili chini ya Israel ni ipi na haya makombora yanapigwa Israel yanatokea kwenye anga ipi🤔
Hizo taarifa zisubiri hadi kesho maana nyie ni mara 1 kwa siku ila si kazi kazi hadi tuhakikishe Ayatoulah anabusu sandaHizi habari nazipenda sana.
Tatizo Sijui kwa nn eatu husemaga Israel kazuia habari za wao kushambuliwa zisisambazwe wakati sio kweli, hapa Nina video kibao za makombora ya Iran yaliyopiga tel Aviv leo.Hizi habari nazipenda sana.
Sijalielew swali lako naona kama ni limeexpireKwa hiyo anga haijadhibitiwa au luncher zinapiga ardhini?
Na ikiwa anga isha milikiwa haoni kinachoendelea chini ya hiyo anga iliyo milikiwa
Anamiliki anga lakini anashindwa kuteketeza mizinga?Zile anazorusha Iran ni surface to surface missiles na sio air to surface, labda Iran angekuwa anarusha kwa kutumia ndege hilo swali lako ndio ungeliuliza ila halina mantiki
Yeah, ni sawa huko hospitali kuna magaidi wa IDF acha wapigwe..Iran pia wana bomb hospitali, je hospitali na vita vinahusiana nini? Yeyote anayetaka kukata roho mwili huwa unaangaika, wanachofanya Iran sasa ni kuhangaika tu, ia mwisho watajisalimisha na uongozi utabadilishwa.
Kukiwa na vita Mali zote za jeshi ni legitimate Target, huruhusiwi kupiga Hospitali ila Hospitali ikishatumika tu kwenye shughuli za jeshi inakua legitimate Target, Geneva convention kasome.Swali, wagonjwa walikuwa ni wanajeshi?
Nilijua tu lazima utafura.Kaka usitake tuanze kujibishana humu. Mimi sina muda wa kukujibu, mimi naweka taarifa na namna Wayahudi wanavyo uawa. Shida yangu ipo wapi kaka? Au unatafuta dume la linalopanda? Bahati mbaya hizo siyo tabia zangu mimi kaka yangu.
Mchina na Korea vipi?Yule si anaungwa mkono na wengi mkuu 😃 😄 Russia apigani peke yake pale