Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Twende kwa akili zako wewe je wapi walisema ni lazima kwa siku warushe makombora 200 kila siku je una wapangia?Huelewi nini sasa?
Kwa akili yako Iran bado ina uwezo wa kurusha makombora 200 kwa mpigo kama mwanzo?
Je Iran kwa sasa ina mfumo wa kutungua ndege hata moja au kombora lolote toka Israel au popote?
Una uhakika gani kama zinamilikiwa na jeshi?Kukiwa na vita Mali zote za jeshi ni legitimate Target, huruhusiwi kupiga Hospitali ila Hospitali ikishatumika tu kwenye shughuli za jeshi inakua legitimate Target, Geneva convention kasome.
So walitakiwa civilian baada ya vita kuanza waondoke maeneo ya jeshi.
Walio toa footage ni mazayuni wenyewe wanataka huruma ya bwana wao wanaona wanazidi kuelemewaIran naye kombora moja post kibao, kusema ukweli pumzi inamuishia hataki
Kurusha machache maana yake ni kuishiwa pumzi, usitake kujitoa ufahamu hapo!Twende kwa akili zako wewe je wapi walisema ni lazima kwa siku warushe makombora 200 kila siku je una wapangia?
Wanarusha machache yanaleta madhara warushe mengi kwanini?
Mpaka sasa bado tunaona ni maneno tu ya kua tuna miliki anga wakati bado irani ina uwezo wa kushambulia.
Sindo anaendelea au we huoni mnarusha makombora mawili kwa siku😁 mbona kuna video kibao Israel akitufumua hiyo mizinga yenuAnamiliki anga lakini anashindwa kuteketeza mizinga?
Kwikwikwikwi wewe mtoto wa juzi kakojoe ulale. Sina muda wa kujibishana na Ponjoro
Israel hatafuti huruma ila anatafuta sababu apige sehemu ya kiraia ya IranWalio toa footage na mazayuni wenyewe baada wanataka huruma ya bwana wao wanaona wanazidi kuelemewa
Hapa unalazimisha unachotaka ndio kiweKurusha machache maana yake ni kuishiwa pumzi, usitake kujitoa ufahamu hapo!
Kwahiyo Iran bado ina dhibiti anga lake?
Daaaah!Huelewi nini sasa?
Kwa akili yako Iran bado ina uwezo wa kurusha makombora 200 kwa mpigo kama mwanzo?
Je Iran kwa sasa ina mfumo wa kutungua ndege hata moja au kombora lolote toka Israel au popote?
Kwani kituo cha TV sio sehemu ya KiraiaIsrael hatafuti huruma ila anatafuta sababu apige sehemu ya kiraia ya Iran
Kupunguza Nguvu za Israel.Nilijua tu lazima utafura.
Hata Hamas iliua watu zaidi ya 1,000 huko Israel. Hezbollah pia ilikuwa inarusha maroket kwenda Israel, Houth pia hivyo hivyo, je sasa hivi unawasikia?
Hiyo ni vita ya pande 2 ulitaka Israel isipate madhara hata kidogo?
Swali ni je madhara anayoleta Iran kwa Israel yanamsaidiaje?
Si walisema hawajapiga hawa mbona wanakuwa kama demu bikira anataka hataki haitaki anaitaka
Hapo Kuna watu wamwtangulizwa wakawahi bikira zao.Si walisema hawajapiga hawa mbona wanakuwa kama demu bikira anataka hataki haitaki anaitaka
Mtu katoka nchi ya mbali kaja kuluvamia kwamba sitaki hiki na kwa sababu hutaki kuacha nakuja kukilipua na amekuja kweli alafu bado unasema unatoa dozi?Hapa unalazimisha unachotaka ndio kiwe
Ndio na ndio maana anaendelea kutoa doze
Mdogo wangu wewe ni Ponjoro, samahani lakini. Vita ya Iran na Iraq ilipiganwa sisi tukiwa watu wakubwa tu.Wewe unaleta historia ya vitabu vilivyoandikwa kwa malengo maalumu, dunia ya sasa inahitaji uthibitisho, na si maandishi aliyojiandikia mtu kuwasilisha mawazo yake.
Mi naona hili dude ndio la jana lilipotea hewani , kwa maana hio shockwave sio ya kawaida aisee, i can imagine tetemeko la ardhi kubwa lilitokea hapo...Sidhani kama kuna mgonjwa yupo hai hapa
View: https://x.com/spectatorindex/status/1935559552696807530
Kwani Vita ni nini?Mtu katoka nchi ya mbali kaja kuluvamia kwamba sitaki hiki na kwa sababu hutaki kuacha nakuja kukilipua na amekuja kweli alafu bado unasema unatoa dozi?