Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Hiyo ni jana usiku, sasa sielewi mnavyosema Israel ana miliki anga mnamaanisha nini!?Sindo anaendelea au we huoni mnarusha makombora mawili kwa siku😁 mbona kuna video kibao Israel akitufumua hiyo mizinga yenu
Nguvu inapunguaje wakati anapiga majengo ya raia tu? Huku mwenzake akimgonga kwenye aset za kijeshi?Kupunguza Nguvu za Israel.
Hamas hajawahi ua hao watu badala yake waliuwawa kwenye shambulizi la ambush na sio one to one crash.
Bila USA kuingia ,Israel hakuna kitu
YANI HUMU JF INAONESHA WENGI WALE WANAODAI TAIFA LA MUNGU MAANA JF IMEPOAA KWA KICHAPO ANACHOPOKEA TAIFA LA MUNGU KUPO KIMYAA WALIKUA WANAWAITA IRAN WAVAA KOBAZ WALIZAN WAARABU WALENa wewe unawaamini hawa?
Jengo lao lilivyolipuliwa waka tweet kuwa hakukuwa na wafanyakazi wa Mossad, wafanyakazi wao wamo ndani ya Tehran. Wakamalizia Iran imelipua jengo tupu!
Kote anapiga,huko huko unakosema majengo ya raia wakati chini ni mahandaki ya Kijeshi lazima kichapo kuendelea kwenye majengo hayo hayo.Nguvu inapunguaje wakati anapiga majengo ya raia tu? Huku mwenzake akimgonga kwenye aset za kijeshi?
Tulia basi Ayatollah anyooshwe!Kwani Vita ni nini?
Ulitaka wasije kushambulia
Ngoja Israel awanyoshe akimaliza huko anahamia kumyoosha chura kiziwi.Kote anapiga,huko huko unakosema majengo ya raia wakati chini ni mahandaki ya Kijeshi lazima kichapo kuendelea kwenye majengo hayo hayo.
Mm ninacho kiona kwa sasa ni piga nikupige hizo ngonjera tumuachie ponjoro tuTulia basi Ayatollah anyooshwe!
Si alikuwa anaapa kila siku
"death to Israel, death to America"
Hao hapo sasa wamekuja mwambieni sasa atoke mafichoni akawaue.
Wanasayansi 9 + makamanda 12 = 21Hapo Kuna watu wamwtangulizwa wakawahi bikira zao.
Mwishowe analysis itaonesha nani kala za usoMm ninacho kiona kwa sasa ni piga nikupige hizo ngonjera tumuachie ponjoro tu
Kati ya Iran na Israel nani alianza kushambulia hospital? Israel juzi wamepiga Hospital iliyokuwepo raia tu huko Iran, wao Iran leo wamejibu kwa kupiga Hospital iliyojaa wanajeshi sasa kati ya Iran na Israel si bora ya Iran hajashambulia Hospital za civiliansIran pia wana bomb hospitali, je hospitali na vita vinahusiana nini? Yeyote anayetaka kukata roho mwili huwa unaangaika, wanachofanya Iran sasa ni kuhangaika tu, ia mwisho watajisalimisha na uongozi utabadilishwa.
Me hizo video zenu za tweeter msiwe mna reply kwangu kama sio source official, mtu gani arushe missiles hivyo kama sio AIHiyo ni jana usiku, sasa sielewi mnavyosema Israel ana miliki anga mnamaanisha nini!?
Au mnazungimzia HUNGER, HANGER?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1935220278407135668
Imeua raia zaidi ya 500,Sasa hao ndio wanajeshi?Wanasayansi 9 + makamanda 12 = 21
Bikira 72 x 21= 1728
Bikira za VIP ni 1728 😁
Demand ni kubwa kuliko supply itabidi wengine wajiunge chaputa
Hao mashoga wameshapata hasara kubwa Hadi Sasa kuwahi kutokea.Ngoja Israel awanyoshe akimaliza huko anahamia kumyoosha chura kiziwi.
Too late hayo inabidi mnagundua mapema, yaani mtu anakuja nchini kwako hadi anajenga mahandaki we unazurura tu, huu ni muda wa kufigtht Israel tunaimezea mate😋 ile kinu ya fordow kuliko ata bichwa la Ayatoulah