gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
...Kwa ubishi wa Hawa jamaa. Tutegemee makubwa sijui KWA nini Hadi Sasa hivi hawjatumia nyuklia kama wanazo. Wakiishiwa option hawaogopi maana hakuna mtu wa kuwafanya chochote hata wachome nchi nzima ya Iran. Wanabackup ya wanaomiliki dunia. Ndio maana papa kauchuna.
Unaua seniors Wana miaka 60+ na unaona unashinda, wayahudi hawafikiri sawasawaInaonekana Iran wale mababu wanaouliwa hawana uhusiano na marchitect wa vita. Naona hakuna tofauti wawepo au wasiwepo
Hii habari kumhusu huyo kiongozi mnairipoti mara ngapi kwa sikuWaziri wa ulinzi wa Israel anasema Khamenei hatachukua muda mrefu kuexist
View: https://x.com/Osint613/status/1935643046017896888?t=oXdfio7d4YL8Et-QWYX-Gw&s=19
Lini hawakukubali kushindwa, utata gani zaidi ya impunity inayosababishwa na kukingiwa kifua?Waisrael huwa ni watata na wabishi sana, hivyo naona kabisa hauitakua rahisi kwa Iran. Kwa nature ya waisrael walivyo, watatumia kila aina ya njia kushinda. Huwa hawakubaligi kushindwa. Ngoja tusubiri, maana hata wairan nao ni wabishi mno
Halafu wanadhani khamenei anaogopaHii habari kumhusu huyo kiongozi mnairipoti mara ngapi kwa siku
Hakuna hospital hapoSoroka hospital leo kabla ya kushambuliwa kwa makombora ya Iran asubuhi
View attachment 3375788
Back again, get ready for the updates
Ndege hazizunguki Tehran we mama,wanapiga toka mpaka wa IraqVita hiizi sio rahisi hivyo mkuu maana hapo na wewe utakua unatoa sadaka raia wako. Wewe utapiga raia huko tel Aviv, nao kumbuka wanaruka na ndege za kivita muda wowote wanazunguka hapo Tehran, wakiamua washushe makombora kila walipo raia basi itakua ni maafa
Vita sio rahisi hivyo
Tofauti ya Waajemi, waarabu na nchi za huko Europe ana America ni kuogopa kifo waajemi na waarabu hawajawahi kuogopa kifo hasa kufa katika kile wanachoamini , kwao ni heshima kubwa, Ayatollah haogopi kifo maana hata akifa hakuna kitakachopungua Israel ataendelea kupokea kichapo hivyo hivyo tena kinaweza kuzidi mara 3 zaidi ya sasa hivi.Muda huu waziri wa ulinzi wa Israel anasema Ayat Khamenei hapaswi tena kuishi.
Khamenei na Iran waongeze ulinzi, Israel wameamua watamuua. Tusubiri
View: https://x.com/clashreport/status/1935633794469445783?t=iIoDeOKocWXmcilcZwHMEw&s=19
Walisema juzi Iran ijiandae kulipia,na leo wanarudia tena hiyo kauli!?Raisi wa Israel muda huu anasema kotendo Cha Iran kushambulia hispit kwa makombora ni uhalifu wa kivita, anasema pia Iran wajiandae kulipia kwa hilo
Akipiga nuclear na yeye mwenyewe ameisha hapo!Kwa ubishi wa Hawa jamaa. Tutegemee makubwa sijui KWA nini Hadi Sasa hivi hawjatumia nyuklia kama wanazo. Wakiishiwa option hawaogopi maana hakuna mtu wa kuwafanya chochote hata wachome nchi nzima ya Iran. Wanabackup ya wanaomiliki dunia. Ndio maana papa kauchuna.
Tusubiri mkuuTofauti ya Waajemi, waarabu na nchi za huko Europe ana America ni kuogopa kifo waajemi na waarabu hawajawahi kuogopa kifo hasa kufa katika kile wanachoamini , kwao ni heshima kubwa, Ayatollah haogopi kifo maana hata akifa hakuna kitakachopungua Israel ataendelea kupokea kichapo hivyo hivyo tena kinaweza kuzidi mara 3 zaidi ya sasa hivi.
Kwanza kwa umri wa Ayatollah anakaribia miaka 90 hana ndoto ya kuishi miaka 150 na kufia kwenye vita ya kuilinda Iran kwake ni heshima kubwa
Nimeona uelewa wako ni mdogo sanaNdege hazizunguki Tehran we mama,wanapiga toka mpaka wa Iraq
Ataishaje Mzee wakati Iran haina.Akipiga nuclear na yeye mwenyewe ameisha hapo!
Unafikiri hajui?!
Ndio mana leo US ameondoa meli zake zote alizo zipaki Behrain.
View: https://m.youtube.com/watch?v=r-nJ1jd6DLE&pp=0gcJCdQJAYcqIYzv
Updates kadri zinavyowekwa kwa namna tofauti ndivyo pia inazidi kurepotiwaHii habari kumhusu huyo kiongozi mnairipoti mara ngapi kwa siku