SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

akibutua naye atabutuliwa mapema maana niheri kumuwahi mbwa kichaa kabla hajaleta madhara kwa wengine
 
Soma tena, bado hujaelewa. Pia Hilo sio gazeti la israel
Hilo pamoja na newsweek nilianza yasoma 1998,kufika 2008 nikayachoka,ni mouthpiece za USA na israel kama ilivyo CNN,cbs,fox etc..hiyo picha bila maneno inaonesha ayatollah anang'olewa,bango kwenye mstimu linakwanguliwa,maneno ambayo netanyahu amekua akiyaimba
Problem is, you're slow..
 
Wangekua hawaogopi kifo wasingekua wanajificha hamna binadamu asiyeogopa kifo futi sita sio mchezo
 
Netanyau Kapata upenyo wa kutoka kwenye handaki na kubweka bweka kama kawaida yake akitoka hapo anakimbilia chini ya ardhi kama panya au utaskia kaonekana ugiriki
Yule kichaa ni kasongo anayo mashimo kila mahali 😃😃
 
Wewe ni mtu mwenye hisia kali sana. Ni extremist
 
Ndani ya hospital ya soroka iliyoshambuliwa leo huko Israel
View attachment 3375922
Chini ya hospital
Ndani ya hospital ya soroka iliyoshambuliwa leo huko Israel
View attachment 3375922
Chini ya hospital


Wewe ni mtu mwenye hisia kali sana. Ni extremist
Hisia kama Bob Marley, ndivyo marasta tulivyo,yaani tunakugusa mtima
Wewe ni mtu mwenye hisia kali sana. Ni extremist
Umebaini kuwa haya ni maji marefu eeh,1998 ulikua wapi,kiunoni kwa mzee?
Hapo mi nanunua newsweek na times 2500-3000 meza ya magazeti
 
ninachokiona hapo, islaeli anatafuta ku control iran, ndio maana anaua viongozi wa juu na ghala za siraha, atakuja kufanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…