SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Unaomba location ya Ayatollah wakati huo huo kiongozi wa taifa teule la Mungu amekimbulia ugiriki. Si atulie hapo hapo alindwe na Mungu wa Israel.
Kasharudi muda sana jana night alikuwa na kikao na kamati ya ulinzi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu Russia ina wa Israel (Jews) wengi na wana mizizi mpaka Kremlin

Russia ni pro Israel mkubwa but always anajifanya yupo neutral maana Wengi waliingia Ukraine na Russia baada ya Adolf Hitler kuwafyeka Germany
Ni kweli russia kwenye hii vita anakuwa kwenye wakati mgumu sana hajui amsapoti nani maana huku iran ni swahiba wake huku israel ina raia wake kibao wana asili ya urusi
 
😂😂😂😂 Taifa teule
 
Ushauri wa Bure chukua au tupilia mbali mzayuni kuwapa wazayuni wenzie


🇮🇷🇮🇷❌🇮🇱🗣Israeli security expert Yossi Melman: Shiites have historically been willing to suffer. I mentioned their willingness to sacrifice.

▪️Yossi: I advise cutting our losses and approaching Trump to stop this madness with a reasonable agreement. Otherwise, we will be forced to beg for a ceasefire, and Iran will refuse...

⚜️@TheSimurgh313
 
Hongera kwa jihad ya uongo katika Vita.
 
😂😂😂😂Anahofia jamaa wanaweza kukataa usitishwaji vita.
 
Umefafanua vizuri sana, ila vipi Iran ambayo pia ina backups za Russia, China na Korea Kaskazini?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kuonesha kuwa hali ya kivita inabadilika na kwamba israel inaelekea kuelemewa waziri mkuu wa Uiengereza Sir Keir Starmer amesema nchi yake inapeleka ndege za kivita katika mashariki ya kati.
Akaongeza kwa kusema haondoi uwezekano wa kusaidia Israel ikibida kama ilivyowahi kufanya huko nyuma.
Iran hapo juzi ilitoa onyo kwa mataifa matatu ya Ulaya ikiwemo Uiengereza ikisema mataifa hayo yamekuwa yakiisaidia Israel kudungua makombora yake ya ballistic inayoyarusha kufuatia uchokozi wa Israel.
Mataifa mengine mawili yaliyopokea onyo hilo ni Ufaransa na Ujerumani.

UK sending more RAF jets to Middle East​


The prime minister is neither ruling in nor out the prospect of British jets helping Israel – as happened in both April and October last year.
 
Jamaa anatafuta sababu ya kuingilia kati.

View attachment 3369395
Hii kauli ni ya kushindwa.😂😂😂
Soma sentensi ya mwishoni anaposema "Yuko tayari kuweka mipango sawa ili mgogoro uishe".
Mwanzo alisema Iran haina chaguo zaidi ya kukubaliana na kusaini mikataba.
Sasa anasema Yuko tayari kupatanisha.
😂😂😂
 
Mwanangu comment yako nimeipenda kichizi nidai soda popote tukikutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…