Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
Sawa ndugu mwandishi huo ulikuwa mtazamo wangu.Aingilie mara ngapi???,huo mpango wote ni USA huyo Israel ni puppet tu kwa lugha nyingie USA na intelligence yake iliyopo hapo Tel viv ndio imezidiwa.
Angalia madesa yako vizuri by far Iran wapo vizuri kielimu kuliko Israel kuanzia Vyuo vyao, Publication za Kisayansi, Graduation za Stem etc.Labda kusoma madrassa sio kielimu dunia kujilinganisha na Israel,
Cooling break. Wanakunywa maji kidogo, wanachapa usingizi kidogo kuvutavuta nguvuPwagu na pwaguzi leo mmenikwaza
Waisrael wenyewe wamehojiwa wamesema israel sio mahali salama kwa sasa, Israel imepokea kipondo kikali sana this time mpaka kwenye makazi ya watu ndio maana raia wamekua na hofu sana, pia israel kijographia anadisadvantage sababu eneo lake dogo vimondo vikishuka madhara yanakua makubwa,pia hamas na hezbollah wameshamchosha sana ndio maana wanaangaika sana kutafuta shortcut yakuuangusha utawala wa iran kuliko kuvirefusha vita...safari hii hatoboiTunabishana bure tu, waisrael ni salama wakiwa Israel sio nje ya hapo.
Pia mm Sina nguvu yoyote ya kuzuia kitu wakiamua kuhama au kubaki. Mm ni a mere peasant tu wa morogoro😅
Mchina kishapeleka chombo mbili za electronic warfare hapo ghuba ya uajemiUSA ikiingilia kati utawala wa iran utaanguka wataweka vibaraka wao..
NB.. Haya ni maoni yangu rejea iraq,libya.
Akikubali atakua mjinga,japo ana njaa,maana ugaidi nchini mwake utakua mwingi, vurugu dailyIla Pakistan haitothubutu kufanya hilo.
Wangekua wanategemea muujiza wateule wasingefumuliwa hospital leoHiyo itikadi ndio inayowamaliza, unalengeshewa bomu badala ya kukimbia anabaki akitegemea muujiza.
Kwa nini wanavaa mabomu na kujilipua?Wangekua wanategemea muujiza wateule wasingefumuliwa hospital leo
Hilo swali linahusiana nini na mjadala,una shida ya coordination?Kwa nini wanavaa mabomu na kujilipua?
Mchina kishapeleka chombo mbili za electronic warfare hapo ghuba ya uajemi
BRICS + chimbo la mafuta bei chee, urusi kapiga mikwala mtu ole wake aguse wanasayansi wake Iran,kiduku katuma makombora kumi uelekeo wa kambi ya marekani Guam,hii ni vita ya kambo ya magharibi na mashariki,ikiendelea basi kutakua na taswira mpya mashariki ya Kati
Jibu swali, usikimbie swali?Hilo swali linahusiana nini na mjadala,una shida ya coordination?
Leo, uelekeo huo,siyo kwamba kahit,yaani uwe dar,urushe makombora dakawa wakati marekani yupo moroHiyo ya North Korea habari ya lini hiyo?
Yaani North Korea karusha makombora Guam?
Acha kunichosha banaJibu swali, usikimbie swali?
Alfajiri lazima Kuna mmoja atapasuliwaLeo mbona kumepoa jamani sioni wakiendelea kupasuana kulikoni
Inaitwa political Blackmail same kama unavyoona Kwa Pdidy ila wanafanyiwa sasa wanasiasa.Kuna mtu anaweza kunambia uhusiano gani wa kindugu, kisiasa, kitamaduni, kijamii, kijeshi au wa aina ina yoyote ule alionao Israel na mataifa makubwa ya Ulaya na US?
Yaani ukimgusa Israel kidogo tu ni kama umekanyaga kende za USA na washirika wake.
NB. Asitokee mtu akanambia wanasyansi wa Israel ndio wanaoiongoza USA na upuuzi kama huo.
Maji mpaka Cyprus then wanapanda ndegeNjia gani wanapita?
Huyu Ayatollah anachelewa nini kunipasulia hiyo Ben Gurio airport!?