SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nimeona report moja inasema kuna hatihati dunia inaweza kupata kutokana na mashambulizi ya kwenye nuclear sites
 
Mimi bado naona kama Israel hayuko serious coz mwemzie hapigi ki mkakati yye anamimina tu mabomu sasa Israel anakwama wapi ?
 
Radiation itaathiri mashariki ya Kati yote
Wanaweza kupiga hapo wala usibishe, iran hawana tena cha kupoteza.
Hakuna kitu kibaya kama kupigana na mtu ambaye hana Cha kupoteza. Iran ameshaona ni kama ametengwa tena hadi na ndugu zake hivyo hatasita kufanya chochote cha kujitetea hata kama na yeye ataathirika
 
Taarifa zaidi ya eneo la lavizan lililoshambuliwa
Kwa lugha yetu inasema:
- Eneo lililoshambuliwa na makombora ya Israel limezuiliwa mtu/watu kufika muda huu, Kuna ambulance nyingi za jeshi, lakini magari ya zimamoto hayaruhusiwi kuingia
Drone nyingi zinaruka eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…