SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Zile kelele za nani mbabe kati ya Israel na Iran zimepungua baada ya pande zote kuripotiwa vifo vya raia na madhara mengine makubwa. Kila nchi hapo inafikika vizuri tu na inapigika. Heshima imeanza kurejea
 
Hakuna mbabe kwenye Ubaya. Kila mmoja anatumia fursa akiipata. Tuwaombee ndugu zetu.
 
Huyo Iran lazima shuzi limlenge lenge maana akiangalia washirika wake Houth na Hezbollah wameshachakazwa na bwana mdogo, bwana mdogo ana intelijensia kali kuliko yake na vile vile wahirika wa bwana mdogo wapo vizuri kijeshi, Ayatollah aombe wakae mezan vinginevyo roho yake ndio inatafutwa ili apatikane kiongozi mwingine wa kidemokrasia ambaye hatakuwa tishio kwa Israel na mashariki ya kati kwa ujumla.
 
Na bila rare earths na critical components kutoka China sio Marekani wala Israel ataweza kutengeneza silaha za maangamizi.

Baada ya China kuzuia kusupply rare earth Trump imebidi ampigie simu Xi, ndio juzi wawakilishi kutoka China na Marekani wakakutana London kuzungumza

Masharti ya China rare earth itumike kwa matumizi ya amani. Na China ikasema itaangalia kama itaanza kusupply au hapana katika kipindi cha miezi 6 ijayo

Wasiojua nguvu ya China huwa wanaropoka tu. Meanwhile maafisa manunuzi wa majeshi ya Russia na Ukraine wako Shenzhen kununua critical components za kutengeneza drones za kivita
​
 
Israeli ana vita ya kizamani, kamata kubwa yao
Vita ya kizamani imepiga military target 150 na kuondoka na Top officials pamoja na nuclear scientist???

Vita sio kurusha hundreds of ballistic zilizo weza ku kwepa mifumo ya ulinzi ni 20 to 30 na kupiga civilian building few zimepiga gas station cha haifa na jana ilipigwa pentagon yao (makao makuu ya wizara ya ulinzi)

But the rest zimepiga majumba matupu maana raia Wengi wapo kwenye mahandaki

Nani apo anae pigana Vita ya kizamani Mtu anae lenga moja kwa moja nuclear facilities na Top officials au anae rusha hundreds of ballistic zitakipo piga popote sawa???
 
Unachokoza nyuki wakati huohuo huna mavazi ya kujikinga na nyuki 🤣🤣
 
Kama people zipo kwenye mahandaki kwa nini vikosi vya uokoaji viko busy kufukua vifusi ili kuokoa?

Na video zinazosambaa kwenye mitandao zikionyesha magofu ya Israel zimerekodiwa na akina nani kama raia wote wamejificha kwenye mahandaki?
​
 
W
Aliyepiga Targets 150 ni Iran sio Israel
 
Kama people zipo kwenye mahandaki kwa nini vikosi vya uokoaji viko busy kufukua vifusi ili kuokoa?

Na video zinazosambaa kwenye nitandao zikionyesha magofu ya Israel ni za akina nani kama raia wote wamejificha kwenye mahandaki?
​
Sio raia wote wapo kwenye mahandaki mbona ipo wazi kuna vifo vya raia karibu 10 mpaka sasa lakn wengi wapo kwenye mahandaki ndio maana number ya vifo ni ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…