SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kabisa. Wasingehitaji kutumua ballistic missile. Wangekuwa na uwezo wa kutumia ndege kama wao. Tungeziona SU-35 kwenye anga la israel. Wangepigwa na cruise missile badala ya kutumia long range. Kifupi jiografia inawabeba sana makafiri
Hawana ndege za kutumia, kwani Israel anatumia ndege kwa sababu ni karibu au unamaanisha kutoka Israel kwenda Iran ni karibu kuliko kutoka Iran kwenda Israel
 
WATCH | Shockwave from Iranian missile strike in Beersheba damages nearby Israeli homes

Footage shows structural damage to residential buildings near the reported impact site of an Iranian missile strike in the southern Israeli city of Beersheba. The missile struck a facility within Israel’s Cybe rSpark tech-military hub.

#Iran #israel #MiddleEast #Gaza #USA #Russia
 
Una uhakika kwamba Russia hajaisaidia Iran?
 
Huyu dada si ndiye yule Israel ilishambulia kituo chake cha habari akiwa live?
 
Unaweza kupata picha hizi missiles za Iran zina shockwave yenye nguvu kiasi gani...
Haya makombora yanafanya wananchi wahame, likitua mtaani ni kama kiama, kuanzia mtetemeko wa ardhi na sauti madhara yake ni makubwa...
Kama hii apartment imeharibika vibaya si kwa kupigwa bali shockwave tu..
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…