Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Trump sio wa kumsililiza yule hamna kitu kichwani ndio maana walitaka kumuua walikosea target tu kaja kuharibu ustaarabu wa Dunia wa kutaka vita na kuleta ubaguzi tu wa Nchi na Nchi wiki iliyopita kasema passport za Nchi zetu sio salama anataka tufanye na katoa siku 60 kama tutakubali kuzibadili tena tutaenda na matakwa yake..Kakosea kukubali kutumiwa na USA kuishambulia Iran...ilitakiwa imwache marekani ifanye yenyewe mashambulizi kule ilani kidogo wangekuwa wametumia akili
SHida yenu humu , hamjui vita vinavyokuwa.hii vita israel kajichanganya aliwadharau iran sana ,now inamgharim may be west wamsaidie kiukweli amechemsha
Hizo kaizitoa shimoni hivi karibuni ila nyuma hazikuwepo na zitapigwa ni suala la mudaZimepigwa wakati kila siku zinapambana kutungua makombora,wanarusha gliders na guided missiles toka Iraq
Nimekuuliza wewe swali na wewe unauliza.?marekani ni mzuri wa vita vya upande mmoja ...mbona marekani anaogopa iran isiwe na nuclear na isiwe na uwezo wa makombora ya masafa marefu ..unajua kwa nini?
DuuuuuVii sisi huku?View attachment 3376612
Sasa hizo air strike ndani ya mji mkuu zinatoka wapi?Zimepigwa wakati kila siku zinapambana kutungua makombora,wanarusha gliders na guided missiles toka Iraq
Udogo sio tatizo ila akili mtu wangu mbona kongo ni kubwa ila rwanda anaitoa jasho, akili na ndicho kitu anachotumia Israel kwenye vita hiiIsrael hawana uchumi wa kuendesha vita , ichi Yao ni ndogo sana , hata uchumi wake ni kawaida tuu. Hawana hata resources,
Hio inajulikana.
Yangu mwaka 1947 , Tangu Israel ilivyoundwa ilisaidiwa kuanzia majengo ya ikulu majengo ya office ya Israel, na bunge , familia ya rothoschild ndo walitoa pesa za majengo. Mpk benk wao ndo walitoa pesa za kuanzisha.
Pakistan asijali wao ni Cousin wetu tutawatumia mafuta tu watapata hawana bayaHii vita imeanza kuiathiri Pakistan kibiashara.
Kumbe Pakistan mafuta anategemea Iran.
Na Iran imefunga mipaka yake hakuna trade routes yeyote kufanyika.
Pakistani baadhi ya vijiji wanalalamika wameanza kuishiwa gasoline.
Nchi yoyote duniani sio rahisi kuwa na air defense system ya kuweka Kila eneo nchi mzima ni ngumu.Hizo kaizitoa shimoni hivi karibuni ila nyuma hazikuwepo na zitapigwa ni suala la muda
Hivyo ni visingizio vya kijinga na kipumbavu!!!!Mimi sioni sababu za msingi za Israel kuanzisha hii vita?
Hata hivyo, Israel ili underestimate nguvu ya Iran, bila kujua kuwa Iran ni moja ya Nchi zenye technoligia ya juu kabisa ya kutengeneza drone. Nchi nyingi zikiwemo Urusi, zinategemea kupata drone za kisasa kutoka Iran.
Israel inaweza kuwa na kifaru cha dola 2000,000 kikapigwa na kusamabaratishwa na drone ya dola 50,000 (matokeo makubwa kwa gharama kidogo).
Kama sio kutegemea Marekani kwenye hii vita; Israel haina ubavu wa kupigana na Iran
Huo ndio ukweli, kwa sasa Israeli hakuna tena sehemu salama, Irani imeonyesha uwezo wa kulenga mahali popote pale ndani ya Israeli.Dah!,,Israeli anachapika wakuu.
Mbona kaenda hizi sources mnatoa wapiView attachment 3376590
Iran's Foreign Minister:
We Will Not Talk to Anyone as Long as Israeli Attacks Continue.
Yes ni kweli ila ushawah ona ndege za kivita za Ukraine zinafika ndani ya urusi na zikarudiNchi yoyote duniani sio rahisi kuwa na air defense system ya kuweka Kila eneo nchi mzima ni ngumu.
Ndo watu walishangas mbona drone za Ukraine zimeingia ndani ya Russia,
Ni kutokuwa na uelewa
Sio kweli leta data b'se survey iliyofanywa ilionyesha asilimia zaidi ya 80 wanaunga mkono vitaHuo ndio ukweli, kwa sasa Israeli hakuna tena amani.
wananchi wa Israel wanamuomba Kiongozi wao Netanyau aachane na vita.
Anaota ndoto ya mchana Iran factory iko underground wahuni wanajua kutengeneza kombora fasta ndani ya muda mfupi kuliko smartphone inavyotengenezwa, kwahiyo habari ya Iran kuishiwa makombora hiyo ni ndoto ya AbunuwasiIshu ya kuishiwa missile mmmmh sidhani
IRAN WANA MAKOMBORA YA HYPERSONIC NI MARA 15 YA SPEED OF SOUND YANATEMBEA MWENDO WA 6100 KM PER HOUR, HAKUNA MFUMO WOWOTE UNAOWEZA KUTAZUIA, MARA HII SATANETANYAHU KAINGIA CHA KIKE , KUKAA HAWEZI KUTOKA HAWEZI PUMBAV ZAKEHaki hii ni balaa, Hii ni Telaviv na Haifa kweli?
Makombora ya Iran yameleta uharibifu mkubwa sana
My take: Wanaoumia na hii vita ni raia wa kawaida kati ya mataifa hayo mawili
Hivi inamaana nchi nyingine zimeshindwa kabisa kuwaambia hawa watu waache kupigana??
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935657429225669023?s=19View attachment 3376526
Inaonyesha wazi hujui unachoshabikia Kama Iran ana nguvu kuizidi Israel inakuwaje sasa ndege za Israel zinaingia na kutoka bila shida huko Iran?Anayetafutwa kwenye hii vita kwa sasa ni US na jamaa ameshasanuka kitambo ndiyo maana maneno ni mengi.. japo mimi najua kabisa baba wa kweli hawezi kumwacha mtoto wake auwawe kwa dhihaka huku yeye anashuhudia na akijua wazi ndiye aliyemtuma akachokoze watu asiojua uwezo wao.
Baba wa kweli anajitoa sadaka kwaajilibya watoto wasio na hatia aliowaleta duniani pasi na wao kutaka haijalishi hata atauwawa kinyama.
Ikiwa basi US atabaki kurusha maneno badala ya kuchukua hatua kuinusuru Israel, sisi walala hoi tutajua wazi kabisa Iran nitaifa lenye nguvu kubwa duniani ila halitaki kujionyesha na moja kwa moja kawashinda US na Israel kwa wakati mmoja.
Nb. Kama israel inajiamini iache watu watupe habari za yanayojiri huko maana ukikinganisha air defence system ya iran inavyo nyakua makombora ipo speed sana kuliko lile litoy la israel walilopewa na US lipo slow kichizi mpaka lina boa
Kutoka mpakani mwa Iran na Iraq ni km ngapi?Zina tofautiana ila maximum ni 400km ila Israel huwa anapiga range hadi 2400 km ndani ya Iran halafu mbona video kibao huwa zinaonyesha ndege zikilenga zikiwa juu ya anga la Iran
Anachapwa Mbwa wenye mbwa wanaanza kupiga keleleInaonyesha wazi hujui una hokishabikia!! Kama Iran ana nguvu kuizidi Israel inakuwaje sasa ndege za Israel z inaingia na kutoka bila shida huko Iran?
Nakushangaa kwa kusifia Air defense za Iran ambazo zimeonyesha wazi hazifanyi kazi maana hazijaweza kudungua ndege yoyote ya Israel wala kuonyesha upinzani wowote kwa ndege-vita za Israel. Unachokifanya wewe ni ushabiki uliokuwa na maana yoyote.