City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Sidhani kama unayo bado ila kuna ile video umetuma jana night inaonyesha ndege za kivita za lastborn Israel zinapita kwa juu ya anga la Iran huku wanajaribu kuzishambuliaBack again, get ready for the updates
Wambea tu hao EU hawana lolote. Wala hawana jipya. Hakuna tofauti kati ya EU na USA katika kuwasaidia Waisrael. Na wao wanajidai kuingilia kusuluhisha only because wanaona wazi Israel inavyochakazwa na imezidiwa. Lakini kama Iran ndio ingekuwa inachapika kamwe wasingehangaika kusuluhisha. Mbona pale Gaza hawasuluhishi sbb Israel haijapata madhara kutoka GazaSasa viongozi wa EU wao wanaona vita iishe ndio maana wameitisha kikao na wizara ya nje ya Iran Geneva.
Ila kwa USA iko tofauti.
Ndio maana wanasema wanahofia USA asije kuwaingilia kimazungumzo.
Wametoka kulieleza sasa hivi hapa Al Jazeera.
Una ushahidi na unayoyasema!!? Au unaendeshwa na Propaganda tu ?
Taarifa ya al Jazeera inaonyesha amekufa tiari,Israel imefanya jaribio la kuua mwanasayansi wa nuclear muda mfupi uliopita eneo la gisha Tehran
View attachment 3376742
Nipo nyuma ha muda maana ndio nimeanza kupitia sasa hivi kinachoendelea, hivyo naanzia nyuma kwenda mbeleTaarifa ya al Jazeera inaonyesha amekufa tiari,
Ni kweli kabisa Iran imeishangaza dunia kwa Makamanda wake waandamizi 30+ kuuwawa kijinga kwa siku moja na wanasayansi wake 60+ utafikiri hawana ulinzi. Anga lote la Tehran ku ili kiwa na Israel ndege-vita z inaingia na kutoka bila shida hii inashangaza sana sana!!!Hii aibu wanayoipata Israel na US inaburudisha sana, Iran wameushangaza ulimwengu.
Kwa jinsi mambo yalivyo Israel wanajuta kumuua yule Mkuu wa Majeshi na wasaidizi wake maana yule anaonekana ndiye aliyekuwa anazuia haya mashambulizi mazito, hawa walioko hivi sasa ni vichaa waliochafukwa!
OhooooTehran police wanasema wamemkamata jasusi wa mossad aliyekuwa anatuma taarifa za locations za air defense ndani ya Iran
View: https://x.com/clashreport/status/1936004767030902955?t=HDDOMYZ4zmA9vtQ9QVzxQg&s=19