SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Litoy linayabembeleza makombola ya irani ili liyadake mpaka linajipiga lenyewe.
 
Ile six day war ya 1968 ambapo Israel ilizichpa nchi za waarabu ikashinda ilisaidiwa na Ulaya na US mpaka askari waliotumika ni wa huko. Kuna siku nilimsikia retired mmoja wa UK anaongea namna alivyo shiriki vita hivyo na akasema wazi waliambiwa wajifanye ni askari wa Israel.

Hii ndio sura halisi ya taifa teule la mchongo ambalo limeumbuliwa na Iran
 
Lile ni taifa teule kapingane na biblia sisi hapa tuletee data za vita
 
Na aliyeuza ramani ni yule mpuuzi Ashraf Marwan, aendelee kuchomwa moto huko aliko.

Hadi sasa ni kizungumkuti haijulikani aliyemuua alikuwa nani, natamani sana iwe ni mamlaka za Misri.
 
Pakistan wanapakana na Iran,ni karibu vilevile, waarabu itakua wamegoma

Hata kuweka base kwa nchi jirani na iran nalo ni tatizo, hiyo nchi iwe imejipanga kupokeq mvua ya mabalistic
 
Picha iko wapi kuonyesha? Au wanasema hivyo ili kuhalalisha ujinga wao walioufanya huko Israel kwa kushambulia Hoaspitali ya Soroka?
Al Jazeera pia wamesema japo picha za Iran nazo kuzipata mtihani japo mara zote analalamikiwa Israel hatoa taarifa
 
Picha iko wapi kuonyesha? Au wanasema hivyo ili kuhalalisha ujinga wao walioufanya huko Israel kwa kushambulia Hoaspitali ya Soroka?
Kuna tatizo la internet nchini Iran hivyo usitegemee kupata taarifa nyingi. Siwwzi kukataa taarifa ya wizara ya Iran, sababu inawezekana kweli Israel wameshambulia hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…